Haujatoa bado sababu za Allah ku danganya kuhusu Isa
Nilidhani umesha vumbua jawabu , kumbe si mwelevu.
Sasa ni kuwa Wale waliokusudia kumuua Yesu ni watu waovu,
na lile tendo ni ovu asilolipenda Mungu.
Lakini ,mungu ana demokrasia kwa wanadamu kama wameamua wachague
ubaya au
wema, na watahukumiwa kwa matendo yao.
Kwa vile wamedhamiria kufuata nyayo za shetani na kukataa wito wa Yesu , Mungu amewasukumia huko huko walikotaka kwa kuwafananishia dhamira yao ya kuuwa,. Hawa Mayahudi wanamazowea ya kuwauwa Manabii
Ila aliwa tengenezea trick ili wazidi kupotea kwa vile upotevu ndio chaguo lao. Na Mungukiukweli alimuokowa Yesu(Isa)na kumpaisha mbinguni kwa miujiza mikubwa ambayo Mayahudi hawakuaiamini, na ndio wakaandika Uongo wao kwenye vitabu vitakatifu eti wamemuua Yesu na kifo chake ni kwa ajili ya Dhambi za waliomuamini. Mimi nadhani wewe unahitaji kujiuliza swali.
Kuuliwa kwa yesu ni tendo jema?
Je walio muuwa wanabaraka za Mungu baba?
Ikiwa Kifo chake ni kwa ajili ya Kufutia dhambi za Ulimwengu, kwanini basi wauwaji wahukumiwe kwa dhambi ile.?
Qur-an
3:
155. Basi kwa sababu ya kuvunja kwao ahadi zao, na kuzikataa kwao ishara za Mwenyezi Mungu,
na kuwauwa kwao Manabii bila ya haki, na kusema kwao: Nyoyo zetu zimefumbwa; bali Mwenyezi Mungu amezipiga muhuri kwa kufuru zao,
basi hawaamini ila kidogo tu.
Soma Luka 11:
49 Na kwa sababu hiyo hekima ya Mungu ilisema, Tazama, nitatuma kwao manabii na mitume, nao watawaua baadhi yao na kuwafukuza,
50 ili kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote, iliyomwagika tangu kupigwa msingi wa ulimwengu;
51 tangu damu ya Habili hata damu ya Zakaria, aliyeuawa kati ya madhabahu na hekalu. Naam, nawaambieni ya kwamba itatakwa kwa kizazi hiki.
jee hujaona kitu hapa , au hufahamu?
Umepigwa changa ndugu yangu ,Fahamu maandiko.