Kwani we ulidhani nyoka anawakilisha nini japo😀😀😀? Kumbe wewe ni kilaza kuliko wenzako wote humu. Kaangalie movie ya Brian Deacon pale alipojaribiwa alitumika nani kumjaribu kuwakilisha shetani
Kaangalie movie utaelewa maana kwenye vitabu ni mweupe.
Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani
A=B
B=C
So A=C
Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.