Kwahiyo wewe ulipotubu jana basi sasa hivi unajiachia mpaka mwakani tarehe kama hizi?
Yesu Kristo ni Mungu aliyehai.
Tazama, mimi ni mwanadamu, nakosea kila siku,
lakini nahitaji njia ya kupunguza uzito wa mzigo wangu wa madhambi,Ndiyo maana Munguakaweka Offa za kila aina,
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Kwenda Huijja,
Kufunga siku ya Arafa,
Kufunga siku ya Juma tatu na Alhamis,
Kufunga kila mwezi siku tatu za katikti ya mwezi Mwandamo,
Kuchonja siku ya Eidi ya kuchinja.
na nyingine nyingi za kumfanya Binadamu aweze kufikia malengo.
Kubwa zaidi ukifanya Dhambi unalipwa moja kwa moja.
Ukifanya wema unalipwa moja kwa Kumi hadi mia saba, inategemea na usafi wa nia yako
Karibu katika Uislamu Kusilimu ni rahisi tuu.
Na huku Yesu anaheshimiwa na manabii wote wanaheshimiwa kama sharti la Imani