Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Muongo ni Allah yeye ndio alifanya tukio la kuongopa na hakusema ukweli miaka 600, ata wewe Kisai ungekuwa pale ungeona na ungeamini , Kuna sheikh mmoja kakiri wazi hiyo Aya Kuna mtu kaichomeka maana haeleti mantiki kwa nini Allah adanganye
Huyo siyo sheikh, sababu Qur'aan haiongopi.

Pili,nikikwambia Mola kumuokoa mja wake ni uongo gani huo ? Tumia akili yako ndogo tu.

Pili, kukaa miaka 600 siyo hoja haya ni maamuzi, sababu hapakuwa na haja ya watu kujua hilo na ndiyo maana Mtume alipokuja na kuongea hili hakuna Mkristo aliyepinga hili kwa zama zile. Kingine kujua ukweli baada ya miaka hata elfu si hoja ya kufanya jambo likawa uongo.

Kwahiyo swali langu naona umekimbia kulijibu ya kuwa wewe unae amini ya kuwa wapo walio shuhudia na unashindwa kuwataja huu ni uongo mwingine toka kwenu.
 
Ni jambo la kuchekesha Yani unasema anamuokoa mja wake na anamtua uhai mja wake mwingine 😂😂😂😂😂😂 hii story ya Isa bandia muhammad alichemka Sana kutunga ujinga
Ubandia haupingwi kwa namna hiyo, Allah anauwezo wa kufanya jambo anavyo taka tena kwa ufanisi wa hali ya juu.
 
Kwahiyo hizi habari hazikuwepo mpaka alipozileta muhammad?
Kama ambavyo Habari za Yesu kuwa ni MUNGU, hazikuwepo mpaka alipokuja SAULI,
Huko nyuma Mungu alikuwa Mungu na Nanbii alikuwa nabii mpaka yesupia alijua hivyo kuwe yeye ni NABII

Marko 6:4 BHN​

Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.”
Hili la kuwa yeye ni Mungu ni uzushi wa Waandishi na SAULI.
 
Ubandia haupingwi kwa namna hiyo, Allah anauwezo wa kufanya jambo anavyo taka tena kwa ufanisi wa hali ya juu.
Nilikuuliza Isa bandia alionekana msalabani hau hakuonekana ? Ni muhimu ukajibu
 
Kama ambavyo Habari za Yesu kuwa ni MUNGU, hazikuwepo mpaka alipokuja SAULI,
Huko nyuma Mungu alikuwa Mungu na Nanbii alikuwa nabii mpaka yesupia alijua hivyo kuwe yeye ni NABII

Marko 6:4 BHN​

Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.”
Hili la kuwa yeye ni Mungu ni uzushi wa Waandishi na SAULI.
Allah anakujibu unambishia

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
muhammad alichemka Sana kutunga ujinga
Nadhani ujinga mkubwa ni kule kusema kuwa Mungu kaja duniani kwa umbile la ki Binadamu kisha akakamatwa na viumbe wake na kupigwa mijeledi na kisha kuuwawa na kutundikwa msalabani na siku ya tatu ndio akafufuka na kukimbia ili asionekane na watu ambao ni viumbe wake.
Hivi kuna Kioja kama hichi?
Mungu Mkuu !
Muumba wa kila kitu! Halafu Binadamu mwenye akili timamu anaamini ivyo!
Heri kioja cha kuokolewa na kupigwa mwingine asiyekuwa Yesu inaweza kuelezea Nguvu za UUngu wa Yesu kuliko hoja hii.
 
Nadhani ujinga mkubwa ni kule kusema kuwa Mungu kaja duniani kwa umbile Binadamu kisha akakamatwa na viumbe wake na kupigwa mijeledi na ksha kuuwawa na kutundikwa msalabani na siku ya tatu ndio akafufuka na kukimbia ili asionekane na watu ambao ni viumbe wake.
Hivi kuna Kioja kama hichi?
Mungu Mkuu ! Muumba wa kila kitu! Halafu Binadamumwenye akili timamu anaamini !
Heri kioja cha kuokolewa na kupigwa mwingine asiyekuwa yesuinaweza kuelezea Nguvu za UUngu wa yesu kuliko hoja hii.
Embu jibu huyu Isa bandia alikuwepo msalabani au hakuwepo ?
 
Nadhani ujinga mkubwa ni kule kusema kuwa Mungu kaja duniani kwa umbile Binadamu kisha akakamatwa na viumbe wake na kupigwa mijeledi na ksha kuuwawa na kutundikwa msalabani na siku ya tatu ndio akafufuka na kukimbia ili asionekane na watu ambao ni viumbe wake.
Hivi kuna Kioja kama hichi?
Mungu Mkuu ! Muumba wa kila kitu! Halafu Binadamumwenye akili timamu anaamini !
Heri kioja cha kuokolewa na kupigwa mwingine asiyekuwa yesuinaweza kuelezea Nguvu za UUngu wa yesu kuliko hoja hii.
Hakuna Imani inasema Mungu ni physical kwenye ukristo Mungu ni Roho na human flesh ndio iliuliwa
 
Swali juu ya swali,
Ndiyo Kasulubiwa, na akalalamika akisema ''Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha''?
Huo ni unabii kijana alikuwa anautimiza

Kumbuka Mungu kwa wakristo ni Roho sasa kama Yesu aliitoa Roho kwenye mwili ukitaka iweje

Soma
Mt 27:50 SUV
Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
 
Allah ndio katengeneza hilo tukio?
Sasa kama si Mungu mwenyewe unadhani nani tena angeweza kufanya hayo? Ndiyo Allah

inaonesha aliyeandikwa msalabani hana uwezo hata wa kusamehe dhambi, mpaka aombe kwa Mungu, Kwa vile yesu husamehe mwenyewe dhambi asingekuwa na haja ya kumuomba Baba hapa Luka 28:34
Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo.
 
Tuwekee ushahidi, na utuambie huo utume alipewa na nani ? Na utuambie habari za Yesu alizipata wapi ?

Muhammad NDio muongo mkubwa analeta habari Musa yupo uchi anakimbizwa na jiwe 😂😂😂😂
Mara Musa kampiga Malaika kampukutisha taya
 
Sasa kama si Mungu mwenyewe unadhani nani tena angeweza kufanya hayo? Ndiyo Allah

inaonesha aliyeandikwa msalabani hana uwezo hata wa kusamehe dhambi, mpaka aombe kwa Mungu, Kwa vile yesu husamehe mwenyewe dhambi asingekuwa na haja ya kumuomba Baba hapa Luka 28:34
Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo.
Allah katengeneza uongo alafu anachukia watu walio amini uongo wake 😂😂😂😂😂, inamaana walio ona tukio ni wakweli kabisa na Allah ni muongo
 
Muhammad NDio muongo mkubwa analeta habari Musa yupo uchi anakimbizwa na jiwe 😂😂😂😂
Mara Musa kampiga Malaika kampukutisha taya
Mbona una hama kweye mada ,unaleta stori nyingine? Hizi ni Stri za Kiyahudi ,daadhi ya waislamu waklizinukuu toka kwao, hazina uhusiano wowote na Qur-an wala Uislamu
 
Mbona una hama kweye mada ,unaleta stori nyingine? Hizi ni Stri za Kiyahudi ,daadhi ya waislamu waklizinukuu toka kwao, hazina uhusiano wowote na Qur-an wala Uislamu
Huyo nimejibu yeye , stori nyingi Muhammad alikuwa anazi copy kutoka story za watoto za wayahudi 😂😂😂 fairy tale stories Kuna kitabu Cha legend of the Jews nenda kakisome story nyingi mudi kazitoa humo
 
Allah katengeneza uongo alafu anachukia watu walio amini uongo wake 😂😂😂😂😂, inamaana walio ona tukio ni wakweli kabisa na Allah ni muongo
Walio muamini Yesu hawakupata shida hiyo ya kujuwa ukweli.liokuwa na upotofu rohoni mwao ndio walio ona hicho kioja.

Unajua kuna waliona Wafu wakifufuka na kwenda kwenye hekalu siku ile?
 
Walio muamini Yesu hawakupata shida hiyo ya kujuwa ukweli.liokuwa na upotofu rohoni mwao ndio walio ona hicho kioja.

Unajua kuna waliona Wafu wakifufuka na kwenda kwenye hekalu siku ile?
Allah alikaa miaka mingapi NDio akasema alidanganya?
 
Walio muamini Yesu hawakupata shida hiyo ya kujuwa ukweli.liokuwa na upotofu rohoni mwao ndio walio ona hicho kioja.

Unajua kuna waliona Wafu wakifufuka na kwenda kwenye hekalu siku ile?
Huyu anachofurahisha anasema Kristo amelaaniwa katika mwili na sio katika roho😀. Najiuliza katika binadamu sijui anatimia bila kuwa na roho
 
Back
Top Bottom