Unapojadiliana na mimi tuliza akili, sababu katika neema nilizo jaaliwa na Mola wangu ni umakini na kutunza kumbukumbu.
Hapa naongelea kitabu chako ambacho una dai ni sahihi, hili kwanza weka akilini. Wewe unaamini ameshulubiwa mimi nina amini hajasulubiwa. Kwahiyo haijaalishi alionekana au hakuonekana.
Swali langu limemili katika imani yako wewe, si umesema Biblia ni kweli tupu, sasa hapa nataka unyeshe ukweli wa Biblia, usiruke ruke.
Hujaonyesha popote kwamba Allah amedanganya na hili mpaka unakufa. Kwahiyo waongo ni nyinyi ambao mnaamini mpaka leo Yesu alisulubiwa
Baada ya hapa sitakujibu chochote mpaka pale utakapo jibu maswali yangu.
Kazi yangu nimemaliza.