Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Wenzio hawataki, wanataka Katiba Mpya kwanzaBinafsi napenda tupate katiba mpya ila inahitaji mchakato mrefu, tuanze na jambo muhimu ambalo utekelezaji wa kuwa na Tume huru, na iwe huru kweli kweli, muswada wa marekebisho ya katiba unaweza andaliwa na kupelekwa bungeni NOW!
Hapana!! Suala la Tume huru ya uchaguzi ni Muhimu sana na ni takwa la wananchi na sio mabeberu ili kukidhi haki ya kuchagua na kuchaguliwa!Mazingaombwe......Baada ya kubanwa na mabeberu ndio mnaona umuhimu ya Tume huru ya uchaguzi? ...... CCM mnatia aibu sana kwa hihi tibia zenu.
Tunasubiria na katiba mpya !
Tujikumbushe pia alichosema boss wake alipokwenda West Africa, alisema kura zihesabiwe hadharani kila zilipopigwa
vp wewe ambaye sio mpinzani ushatoboa?Kwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
Hili suala la tume huru ya uchaguzi ni suala la msingi sana."Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi"
Chanzo: Darmpya
hawa jamaa sijawahi elewa ndani ya ubongo wao kuna nnTangu lini likawa jema? Si mnasema tume yenu ni huru Leo mnaongelea lugha za wapinzani?
Hivi wewe unadhani kila Kitabu kutoka BMK ilikuwa Katiba! Tanganyika bado kuna tatizo kubwa sana!Endeleeni kushupaza shingo, hamjifunzi, huku kushupaza shingo kwenu ndiyo kulisababisha tukose katiba mpya 2014
Ni akina nani walivuruga mchakato wa katiba 2014? Tuanzie hapo.Tuambie unayoyajua Mkuu
Hapana!!Mh!! Hata shetani akizeeka anakuwa Malaika......
Iyo leo tena baba kijacho., Mzee wa wapigwe tuuu..., si wakati ule wewe na kina Jenista Muhagama mulikacha bungeni mkasema tume iliyopo ni huru hakuna haja tume nyengine
Kwa nini mwachukia sana kupingwa? Kwa nini mnaogopa sana maoni tofauti? Ugonjwa gani huu mlionao?Kwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
Umenena point tupu mkuu!Hili suala la tume huru ya uchaguzi ni suala la msingi sana.
Kilichotokea 2020 hakikuwa na afya kwa nchi yetu ipo siku kutaiangamiza nchi.
2008 kenya waliuana law sababu ya tume ya uchaguzi kufanya upumbavu.
2010 Zimbabwe wakauana kwa sababu ya tume ya uchaguzi kufanya upumbavu.
Ivory coast waliuana kwa sababu ya tume ya uchaguzi.
Tunataka mpaka nini kitokee ndiyo tujue umuhimu wa tume ya uchaguzi.
CCM si mliendelea na Bunge la Katiba mpya na mkapigisha kura Hadi watu waliokuwa mahututi huko India Ili column ienee!Endeleeni kushupaza shingo, hamjifunzi, huku kushupaza shingo kwenu ndiyo kulisababisha tukose katiba mpya 2014
Wasipotoboa inakuuma nini
Ana uchungu na nchi huyu, ameshawahi kulia bungeni sababu ya matatizo ya waTZWaziri mkuu mstaafu.
Kipigo cha mbwa koko.