Kumbe kunauwezekano wa kuwapata wanaccm wenye akili!!"Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi"
Chanzo: Darmpya
Tatizo ccm wanajua ikiwepo tume huru ya uchaguzi, wangi wao hawata toboa