Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.

Mkuu kina Mfugale, Waziri Kuandikwa, Profesa Mutabaji, Keenja & Mkewe, Prof. Mbwette, Luhanga na wengi wengine (wapumzike kwa amani) wote wameondoka mfululizo na kwa kufuatana baada ya jiwe.

Usisahau pia hii ngwengwe ina ka wavelength wataalamu wakikaita Lambda (λ)
 
Kazi ya Mungu haina makosa. Walikufa akina Kijazi, Maalim, Mahiga, ndugu zetu, wazazi, nk. Sijui kwa nini unafikiri Mkapa na Magufuli tu ndio wamefuatana? Mbona Mkapa pia alimfuata Nyerere? Na wao pia waliwafuata wazazi wao? Msipokufa siku dakika na sekunde moja ni lazima mfuatane.
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
 
Kweli mwili wake ulipambana kweri kweri na kumshinda corona...
 
Mbali na kufuatana kwa vifo vya viongozi hawa, nimekuwa nikijiuliza tu kwa nini tangia hapo wanaotangulia mbele za haki ni maraisi wa upande wa pili wa Imani ? Kuna uhusiano gani wa maisha marefu ya Marais wastaafu waliopo hai na Imani Yao?
 
Binafsi chuki yangu dhidi ya JPM ilikuwa vifo vya Kina Ben saanane,Azory Gwanda na wengineo hata zile Risasi za Lisu zilinifanya Nimchukie!!!SASA LEO UNAPONIAMBIA ALIHUJUMIWA NASHTUKA SANA!!KAMA KWELI JAMAA ALIHUJUMIWA !BASI KAMA TAIFA TUNAPASWA TUMUOMBE MUNGU MSAMAHA KWA UOVU TULIOFANYA NA TAIFA LITAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA NAAMINI HIVYO!!!
 
Vyovyote ilivyotokea nchi yetu ilishangilia tarehe 17/3/2021
 
Vilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi,wote ilibidi wauliwe, Wafe.
Kwa hiyo Corona haihudiki? Tuweni wakweli. Tulijidai hakuna Corona. Kati Yao ambaye sijaelewa kama alikuwa na Corona ni Mfugale. Waliobaki wote tuulize Uviko 19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…