Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Ila pia kabla hatujajadili wengine tuanze na akina Ben Saanane, Azory, Yule Mzee Ofisa Mratibu wa EU funds, na wengine wengi. Maiti za kwenye viroba ni Nani atazisemea? Kuna watanzania mpaka Leo ndugu zao hawajulikani walipo. Tuwe na balance ya utu. Kila binadamu ana haki ya kuishi hata kama ni masikini au si mtu maarufu.
 
Hata mimi mwanzo nili muelewa ila baada ya hayo matukia na kuanza kudhalilisha na kutukana wafanyakazi wa uma nika pata mashaka
 
Kwa maoni yangu Mimi magu alimuua mkapa naye akauawa na corona
Uko vizuri. Baada ya kumkatalia agenda ya Rais wa Maisha na kumtaka iundwe Tume huru ya Uchaguzi kabla hata ya Katiba mpya. Tume Ikiwa tayari ndiyo Katiba mpya ishughulikiwe.
Ilishangaza kigugumuzi cha kutangaza kifo chake bila kutaja hata hospital na ugonjwa. Mpaka watanzania wakaanza kuongea kila mtu lake ndiyo Yule mtoto wa dadake Mkapa Erio wa PPF enzi hizo akatoka hadharani kusema blablah zake ambazo hazikuekeweka. Mpaka Leo haueleweki japo inasemekana Wimbi eti lilihusika. Kifupi hatujui Ukweli wa Kifo cha Ben M.
 
Hii ni story yako uliyo jisikia kuitunga na kutaka kuwaaminisha wajinga wenzio
 
Hata mimi mwanzo nili muelewa ila baada ya hayo matukia na kuanza kudhalilisha na kutukana wafanyakazi wa uma nika pata mashaka
Mpaka Leo sijaelewa watumishi wa umma walimkosea nini Magufuli. Tetesi ilisikika kuwa 2015 alishindwa vibaya mno na mpinzami. Ikabidi wajiulize hata Kura za watumishi hakupata? Ikabidi wpekue wapiga Kura watumishi ndiyo wajakuta karibia wote waliopiga Kura hawakumchagua bali walimpa Kichwa cheupe. Aliapa atawakomesha na aliwakomesha kwelikweli. Ila hakujua Mungu ndiye komesha yote.
 
Waliuliwa na watu kama wewe. Wenye uchu wa madaraka, wasiojali maslahi wananchi.
Laana za waliokufa na kupotea zilitomia. Na damu zilizomwaga. Hivi wale wajane wamebaki na watoto bila Baba machozi Yao unaijua laana yake? Laana ya mjane ni mbaya mno na chozi lake halikuachi salama. Achilia mbali yatima ambao hawajui Baba Yao alipo. Bora angekufa wakamzika. Wengine wanaamini bado ndugu zao watarudi. Poor Them. Ohh God.
 
Anasahau kwamba hata makamu wa rais wa sasa kaponea chupuchupu pale Dodoma Benjamini mkapa Hospital sababu ya covid19 halafu wao wanaaminishana ujinga
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Walikuwa wanapendana sana wakaamua waondoke kwa kufuatana. Saa hii wanapiga stori tu kuhusu mkesha wa Krismasi
 
Unacoment kama kichaa we jamaa.Unakichukulia kifo cha Magufuli kama ni adhabu we utaishi milele? tena usishangae utakufa we kifo cha aibu cha upweke na kukosekana hata pesa ya mazishi.Punguza ujinga mwalimu wewe
 
Kwahiyo unamaa kuna sukuma gang vs Chagas combain kupimia misuli..
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
 
Unacoment kama kichaa we jamaa.Unakichukulia kifo cha Magufuli kama ni adhabu we utaishi milele? tena usishangae utakufa we kifo cha aibu cha upweke na kukosekana hata pesa ya mazishi.Punguza ujinga mwalimu wewe
Technically ni adhabu hayo ya kuishi mile ni ishu tofauti
 
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.
Mbona baada ya Magufuli wamekufa wabunge na mawaziri wasiopungua 3
 
Aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…