Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Viongozi wengi sasa hivi wamekubali Covid ipo na chanjo imeruhusiwa wamechanja...Angeendelea kuwepo Magufuli wengi zaidi ungekuta wamekufaVipi kuhusu vifo vya wengine ndani ya miezi mitatu. Sasa hivi hakuna kiongozi anyekufa na Corona, ugonjwa wa moyo, ugonjwa wowote.
Technically ni adhabu hayo ya kuishi mile ni ishu tofauti
Kwa aliyoyafanya na wewe unajua.kivipi ni adhabu?
Si kuna kipeperushi kwenye gazeti la Daily news kilitolewa kuwa alienda kutibiwa nje ya nchi tatizo la moyo akiwa anasoma Udsm?jpm hakuumwa moyo,epuka matapeli.
sexless yuko kwenye biashara ya mwili humu.
Na walikuwa wskisema chanjo ni utapeli wa wazungu pia?Unajua Sweden, Japan hawakuwa na Lockdown, Kesi za Corona zilikuwa ndogo sana.
Walifanyaje,waliwaambia watu chukueni tahadhari. Mjilinde common sense stuffs. Nawa mikono,jilinde.
Vilikuwa ni vifo vya kimkakati, hivi sasa Tanganyika imekuwa koloni la WazanzibarKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Wanajifanya wamesahau eti 😀Anasahau kwamba hata makamu wa rais wa sasa kaponea chupuchupu pale Dodoma Benjamini mkapa Hospital sababu ya covid19 halafu wao wanaaminishana ujinga
Huna unalolijua wewe jifunze kukaa kimya. Wazungu wanasema "once you open your mouth you will show the world who you are" hivyo nakushii kukaa kimya.Kwa aliyoyafanya na wewe unajua.
Tupo hapa>>Daah ulivyoanza sentensi ya mwanzo kwa mkwala nikajua wajua mengi kumbe waungua na jua tuu
Nasisistiza, MTAJE HAPA kiongozi wa serikali aliyeshughulikiwa na Magu!!Magu kamwingilia kiongozi gani?! Hivi mbali na ku-deal na baadhi tu ya wafabiashara, JPM aliwahi kumshughulikia kiongozi yeyote yule?! Kama yupo, mtaje hapa...
Wewe unajua nini? Mbona hukumsaidia kama unajua.Huna unalolijua wewe jifunze kukaa kimya. Wazungu wanasema "once you open your mouth you will show the world who you are" hivyo nakushii kukaa kimya.
Ni mpango mwenyezi MunguKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Tunapoelekea tunaenda kutukanana maana mimi na wewe ni watu wa aina mbili tofauti.Mwenzako huwa naitumia akili yangu vizuri kuwaza mambo bila ya kuangalia nawaza kipi.Wewe unajua nini? Mbona hukumsaidia kama unajua.
Mbona simple tu uhai ni mali ya Mwenyezi Mungu na aliamua kuuchukua kwa wakati aliopangaTunapoelekea tunaenda kutukanana maana mimi na wewe ni watu wa aina mbili tofauti.Mwenzako huwa naitumia akili yangu vizuri kuwaza mambo bila ya kuangalia nawaza kipi.
Una maanisha nini hapo kwenye bold?...kuna mtu anaitwa tumia akili, jaribu kufuatilia nyuzi zake!
ilikua ni mission na ilifanikiwa!
kwa mujibu wa huyu jamaa hawa viongozi waliobaki ndio wazalendo wapenda nchi.
Jinga kabisa baada ya kusikitika na kuwaombea wazazi wako siku wakifariki......wewe upo bize na bichwa nundu jitu lenye roho mbaya JPM,lilale pabaya motoniMagufuli ndiye mtu aliyenisikitisha sana kufariki kwake. R. I. P my president. Hata watu waseme nini, kwangu mimi siku zote nitakuwa upande wa Magufuli.
Pole SanaTunapoelekea tunaenda kutukanana maana mimi na wewe ni watu wa aina mbili tofauti.Mwenzako huwa naitumia akili yangu vizuri kuwaza mambo bila ya kuangalia nawaza kipi.
Ukifuatilia thread yake juu ya mikakati ya kifo cha Magufuli na ile thread ya baada ya kifo utanielewa mkuu.Una maanisha nini hapo kwenye bold?...
Unatakiwa upige Godfather kwanza kabla ya mtotoKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Haya ndo majibu sasa 🔥Utamuuaje mbwa bila kumuua mwenye mbwa kwanza......!