Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Ila pia kabla hatujajadili wengine tuanze na akina Ben Saanane, Azory, Yule Mzee Ofisa Mratibu wa EU funds, na wengine wengi. Maiti za kwenye viroba ni Nani atazisemea? Kuna watanzania mpaka Leo ndugu zao hawajulikani walipo. Tuwe na balance ya utu. Kila binadamu ana haki ya kuishi hata kama ni masikini au si mtu maarufu.
Na walikuwa wskisema chanjo ni utapeli wa wazungu pia?
Viongozi wengi sasa hivi wamekubali Covid ipo na chanjo imeruhusiwa wamechanja...Angeendelea kuwepo Magufuli wengi zaidi ungekuta wamekufa
Walileta dharau kubwa sana kwa Covid-19!Vilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi,wote ilibidi wauliwe, Wafe.
View attachment 2055570
View attachment 2055571
View attachment 2055572
Aliona raha kuua wenzake..mtu muovu sana yule...May he burn in hell forever!
Mwenyewe hapa najiuliza kuhusu familia yangu, tarehe 1mwezi oktoba mwaka huu nimezika babu yangu, na tarehe 16 mwezi desemba mwaka huuhuu nimezika mama yangu mzazi.Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Walileta dharau kubwa sana kwa Covid-19!
Kifo hakipangiwi kama wewe unavyopangia Mabwana Ratiba. Kifo ni kifoKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Chanzo? Unajua hapa JF tunaweza kujitungia na kujiaminisha chochote. Wafungwa wa muda mrefu huwa wanahamishwa mara kwa mara. Ni nadra sana kutumikia gereza moja tu.
Kutokana na kwamba yeye ana kesi nyingi sehemu mbalimbali anaweza kuamishwa kuwa karibu na mahakama husika. Kuna vitu alikosea, ila tulite facts tupu, umepata wapi habari yako.
Otherwise hiki kitakuwa kijiwe kichokuwa na maana. Kila mtu analeta anayoyataka.
HahahahaaaaaWatu wanaopendana sana huwa ivo.
Duh!Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Basi huyu atakuwa na kipaji cha utunzi. Si kwa mtiririko huu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Vijana bhana mmekosa kazi... Unavosimulia Sasa unaweza hisi alikuwa pembeni anashuhudia nae kumbe vistory vya magengeni
Hahahaaaaa. Haya majibu huwa mnayadownload wapi?Mwulize Bashiru Ally huko migombani. Vifo vinafuatana kwenda wapi?
Kila kiumbe kitaonja mautiKifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Angalia picha ya jiwe akienda kumpa pole mjane wa mkapa... Inahudhunisha sanaUnataka kusema je
USSR