Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Na mie naongezea Wakati mgonjwa kwanini watu wa karibu hawakuwa karibu ndio kwanza Walikimbizana huyu Tanga na Mwingine Ruhangwa?,
 
Sa
Sawa...na Mkapa je!?
 
Mkuu, nadhani huelewi ninachoandika.

Mimi simtetei mtu yeyote hapa, iwe wawepo wanaodhaniwa kuwatungua hao waliotangulia mbele za haki au vinginevyo. Hilo mimi halinihusu kabisa.
Ninachokueleza hapa wewe unakiita "propaganda", kwa sababu huna ulijualo kuhusu gonjwa hilo, ndiyo maana unakazania tuuu, ninapiga propaganda.
Nipige propaganda za nini, kwa faida ipi?

Wewe unayeamini hizo 'conspiracy theory', huku ukiwa huna uelewa wa ugonjwa wenyewe ndiye mwenye matatizo. Inaonekana wewe ni kati ya wale waliokuwa 'brainwashed' na kuamini kuwa ugonjwa huo ulikuwa si chochote; huku mkiona watu wanakufa, bado akili zenu zimejifunga tu!
 
Umeshapiita mwaka bila huo ukweli kusikika, ni imani potofu kuamini kuwa kila kifo kina mkono wa binadamu.
 
Umeshapiita mwaka bila huo ukweli kusikika, ni imani potofu kuamini kuwa kila kifo kina mkono wa binadamu.
Mwaka mmoja ni dakika chache sana in the grand scheme of things. Wauaji wa Thomas Sankara wamehukumiwa mwaka huu! Kama hakuna aliyehusika na vifo hivyo basi hakuna haja ya wasiwasi, right?
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Kila mmoja alimuita mwenzake Kama vile walivyoteuliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…