Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?


Mimi nimechanja,nimepata booster ijumaa iliyopita.

Sababu kwa kazi zangu lazima niwe na chanjo, Covid passport. Kusafiri.

Ni hivi kwa nchi kama Tanzania, Afrika, muhimu uangalie, chakula ( mboga, matunda) usafi nawa mikono. Mazoezi nk.

Wazee wetu afya zao haziko vizuri. Sababu ya lifestyle.
 

jpm hakuumwa moyo,epuka matapeli.

sexless yuko kwenye biashara ya mwili humu.
 
Vilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi,wote ilibidi wauliwe, Wafe.
Vipi kuhusu CDF
akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Inamaana ziara alikuwa akipangiwa yule baba
 
Mimi nimechanga,nimepata booster ijumaa iliyopita.

Sababu kwa kazi zangu lazima niwe na chanjo, Covid passport. Kusafir...
Kwahiyo huko wanakokutaka COVID Passport unawaona wapuuzi sio?! Au unawaona ni paranoia kuwataka watu wathibitishe kuchanjwa wakati covid yenyewe "sio tishio kivile"?!
 
Kwahiyo huko wanakokutaka COVID Passport unawaona wapuuzi sio?! Au unawaona ni paranoia kuwataka watu wathibitishe kuchanjwa wakati covid yenyewe "sio tishio kivile"?!

Unajua Sweden, Japan hawakuwa na Lockdown, Kesi za Corona zilikuwa ndogo sana.

Walifanyaje,waliwaambia watu chukueni tahadhari. Mjilinde common sense stuffs. Nawa mikono,jilinde.
 
jpm hakuumwa moyo,epuka matapeli.

sexless yuko kwenye biashara ya mwili humu.
Hakuumwa moyo?! Kwahiyo hata lile gazeti la miaka kadhaa iliyopita ambalo liliandika "VARSITY APPEALS FOR HELP" na kusema "The Acting Vice-Chancellor of the University of Dar es salaam, Prof P. Mlama has appealed to the public to financially assist a postgraduate student Joseph Pombe..."Gazeti likaendelea kuandika "Pombe who's taking Master of Science at the University has been suffering from Hypertropic Cardiomyopathy and is required to undergo surgery in Britain."
Hilo gazeti nalo walikuwa waongo?! Na walikuwa na sababu gani za kusema uongo dhidi ya mwanafunzi?! G
 

jpm hakuwahi kuumwa moyo,epuka matapeli.
 
Unajua Sweden, Japan hawakuwa na Lockdown, Kesi za Corona zilikuwa ndogo sana.

Walifanyaje,waliwaambia watu chukueni tahadhari. Mjilinde common sense stuffs. Nawa mikono,jilinde.
Nani amesema habari za lockdown?! Hizo habari za lockdown zilikuwa ni propaganda za wafuasi wa Magu lakini majority wala hawakuwa wakizungumzia lockdown bali walikuwa wanaitaka serikali kuwa serious na tahadhali! Lakini badala ya serikali kuonesha u-serious, ikawa mara maombi, mara nyungu, mara kikombe cha Madagascar; yaani tafrani! Kama hiyo haitoshi, rais aka-discredit mashine za kupimia ugonjwa, na dada wa watu aliyekuwa anaongoza kitengo, akatumbuliwa eti anatumika na mabeberu! na kuanzia hapo hatukuambiwa tena kuhusu takwimu za status ya ugonjwa!
 
jpm hakuumwa moyo,epuka matapeli.

sexless yuko kwenye biashara ya mwili humu.

Alikuwa akiumwa kitu gani? Mbona siku zile Za uchaguzi alipohutubia Zanzibar kwenye kampeni ya Mwinyi Jr. Kuliwekwa gilasi yenye kinywaji kwenye kimeza pembeni mwa Magufuli ? Video zipo YouTube

Kile kinywaji kilikuwa cha kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…