Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Nani amesema habari za lockdown?! Hizo habari za lockdown zilikuwa ni propaganda za wafuasi wa Magu lakini majority wala hawakuwa wakizungumzia lockdown bali


Wewe unafikiri ni njia gani unaweza kushinda hichi kirusi?

Pia watu waendelee kupata kipato.
 
Alikuwa akiumwa kitu gani? Mbona siku zile Za uchaguzi alipohutubia Zanzibar kwenye kampeni ya Mwinyi Jr. Kuliwekwa gilasi yenye kinywaji kwenye kimeza pembeni mwa Magufuli ? Video zipo YouTube

Kile kinywaji kilikuwa cha kazi gani?

kwani ile fan ilikuwa ya kazi gani??
 
Jibu swali, gazeti la serikali lilikuwa na sababu gani za kumsingizia mwanafunzi? Na wamsingizie ili iweje?

unataka jibu au unachagua jibu???

acha upumbavu.
 
Wewe unafikiri ni njia gani unaweza kushinda hichi kirusi?

Pia watu waendelee kupata kipato.
Ukweli mchungu ni kwamba kwa sasa kukishinda kirusi ni ngumu kwa sababu wananchi walishajazwa ujinga kwa kiasi cha kutosha na wakajazika! Na hili utaliona hata kwenye chanjo ambazo nazo wale wale waliokuwa wanapinga uwepo wa corona ndo hao hao wakaendeleza propaganda kuonesha ni namna gani hizi chanjo zilivyo na nia mbaya kwetu, na matokeo yake, hata dozi 1M tumeshindwa kuzimaliza!!

Na kwavile tumeshajazwa ujinga, njia za "kidemokrasia" katu haziwezi kusaidia na kwa bahati mbaya ubabe nao haufai kutumika!! Kwahiyo hamna chochote cha maana kinachoweza kufanyika zaidi ya kuendelea kuwakumbusha wananchi kwa msisitizo and with seriousness kwamba this's real!
 
Kwa hyo mkuu inaonekana kazi ilianzia hapa??
 
Sasa kinachokufanya utukane?! Hivi mpumbavu ni nani kati yangu na wewe unayebisha kilicho dhahiri?! Umekosa jibu unaanza matusi? Au ndo unataka kuonesha level yako ya upumbavu>?

neno mpumbavu sio tusi,ni wasifu kama nikikwambia fulani wewe ni mfupi ama mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…