Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Ili tuende sawa na mjadala huru, tujibu swali hili. Kwanini binadamu huzaliwa, huishi kwa kipindi Fulani na Kisha kufa?

Kujibu swali lako, sisi kama binadamu tumetengeza dini.

Ukifanya vizuri unaenda peponi, vibaya motoni.

Unaishi kusaidia ndugu zako, wazazi, watoto, ndugu, jamaa, rafiki.

Utakufa ukitenda mema, Mungu mwenye upendo atakupa nafasi sehemu nzuri kutulia.
 
Belarus wakiendelea na maisha bila lockdown,Belarus ni ulaya
 
Ukielewa kifo cha tupac shakur utaelewa cha Notorious BIG
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Tena baada ya kifo cha kwanza, timu msoga ikazusha eti kifo cha pili kamuondoa ili agombee term ya tatu (kumbukeni nuzi zililetwa jukwaani). Mkakati ilikuwa kumpotezea uelekeo kifo cha pili awe busy kujihami huku wanamalizia mipango
 
Tuseme ilikuwa Corona... then baada ya kuondoka Magufuli na Corona ndio ikaishia pale..

Mpaka iliporudi tena omicron hivi karibuni, sijui hii itaishia kwa nani, let's wait and see.
Corona ilikuja kuwaondoa watu maalumu
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
Wewe size yako ni haya
 
Umeshinda mkuu like nyingi kwako hao wachovu hata like hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…