Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Mkuuu ushahudi unao?
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Ulitaka vifuatane vifo vya akina nani sasa? Hata kwenye familia inaweza tokea baba akafa baada ya wiki akafa mama baada ya mwezi mtoto. Hicho ndicho kifo bwana kinakufikia popote, wakati wowote
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Hivi ulimuona Mpango alivyoponea alikuwaje? Corona plus kinga ya mwili kuwa hovyo nakuapia utapata tabu sana! Magufuli corona ilivyomtandika ndo akaijua bahati mbaya hakupona ili kuja kutoa ushuhuda.
 
Kuna uzi kule jukwaa la Intelligence una majibu ya hilo swali lako
 
Acha kudanganya watu wewe! Magu kamwingilia kiongozi gani?! Hivi mbali na ku-deal na baadhi tu ya wafabiashara, JPM aliwahi kumshughulikia kiongozi yeyote yule?! Kama yupo, mtaje hapa manake sie tunaofuatilia mambo mara kwa mara tulikuwa tukimsikia akisema "...waacheni wazee wapumzike"! Na hadi ametoka, hakumgusa kiongozi wa chama wala serikali!!
Fuatilia kwa uzuri zaidi bado ukonyuma ya pazia.!!
 
Vilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi,wote ilibidi wauliwe, Wafe.
Halafu tokea waondoke hakuna kiongozi anayekufa kwa korona saivi.
Wameondoka nchi imepewa watoto wanaodeka ,cheki rizimoja ,nape na makamba.yaani Hawa ni upendo wa msoga ,walibaniwa Sana kuongoza ikabidi huyo anayewabana waondolewe.
Imefiki sehemu kila mtu ajitwalie Kijiji Chao kiwe nchi
Afrik huu mfumo wa nchi tumeiga ulaya na wao ndio walioleta huu mfumo. Bora turudi tawala za kikabila Kama zamani kila mtu ale ya kwao..
Mana akina fulani tu utadhani kama wao ndio watu pekee
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
Akili za magaidi utazijua tu.
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Ujinga mwingine huu kama ulinzi magu alikuwa naowakutosha sasa ulitaka wafatane nawewe? Walikuwa wanaadam mwishowao ulifika au ulifikiri walikuwa wakina nani wasifatane?
 
Hivi ulimuona Mpango alivyoponea alikuwaje? Corona plus kinga ya mwili kuwa hovyo nakuapia utapata tabu sana! Magufuli corona ilivyomtandika ndo akaijua bahati mbaya hakupona ili kuja kutoa ushuhuda.
Hapa akili ndogo inajadili mambo makubwa. Kama hujui si ukakojoe ulale tu.
 
Ongezea vya Maalim Seif, Kijazi, Mfugale, Mahiga, Kuandikwa na wengi wengine list ni ndefu.
Ukiachilia mbali Seif, waliokuwa wasaidizi na wateule wa Rais wote ni vifo vya kupangwa na bin adam.

Kama kweli mungu yupo mbona hamshughulikii muuaji wa watu wale wasio na hatia
 
Vilipangwa, mkakati, inner cycle, watu wa karibu, muhimu wote kuondelewa. Mfugale, kijazi, Waziri wa Majeshi,wote ilibidi wauliwe, Wafe.
Nachokifahamu iwe ni mpango wa wanadamu au mashetani au vyovyote vile bado Mungu anahusika (kwa kuruhusu vitokee). Kinyume chake wasingeondoka (Reference: Tundu Lissu, Majaribio ya Mwl. Nyerere, n.k)
 
Back
Top Bottom