Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Rejea uzi fulani humu. Mkapa aliuawa ili akiuliwa Dkt Magufuli asipatikane wa ku doubt, ingawa naye Mkapa inasemekana alimtanguliza Nyerere ili wachimbe madini, yaani hivi vitu ni vuruguvurugu tupu
Tulieni mahakama zipowazi mnakaa mnawaza mtu akiwa rais hafi na akifa kauwawa wakati maradhi yapo kwa kila mwanaadamu ukifa wewe sawa akifa raisi kauwawa na lawama zote anapelekewa rais Fulani mstafu tujiulize je kama anauwezo naushawishi nguvu zote hizo anashindwaje kurudi madarani?kwamaana bilakushawishi vyombo vikubwa vya ulinzi huwezi kufikia hatua yakuzuru wenzako nahivi ndiovyombo vinauwezo wakukuweka madarakanj tukabali kifo kipo jamaa amekufa kwamachukizo yawatu haswa wavuvi tulimuomba mungu sana na ametujalia kama unamawazo tofauti toa ushahidi tupotunaojuwa kufikiri
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanda

Bwana XYZ
Bwana X wa 1995 alikuwa behind Z death

Bwana Y wa 2015 alikuwa behind Bwana X death

Inawezekana Bwana Y nae kafanyiwa figisu
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!

Kwasababu ya ugojwa mpya ulioingia kwa jina la Covid 19 na wote walipata huu ugojwa ambao ni hatari kwa watu wazima kama Mkapa na watu wenye pacemaker kama Magufuli. Huu ndiyo ukweli.
 
Swali lako lielekeze izraeli mtoa roho ndio mwenye majibu huku kwetu ni kutusababishia dhambi za kusema uongo tu
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Sasa wewe unataka kusema kitu gani, umesahau kwamba tulikuwa katikati ya janga la COVID-19?

Au kwa vile akili zenu zilipumbazwa na kudhani hilo gonjwa halikuwa hatari sana?

Nenda katafute vipimo vya kitaalam vya hao watu kama hawakuzuia visifanyike uone kama UVIKO haukuhusika katika vifo vyao.

Ninamsikitikia sana Mkapa, lakini asingefanya lolote kuepuka dhahma lililompata. Nampongeza sana Mzee Ruhsa, yeye kwa kudra za Mungu kasavaivu!
 
Hakuna cha ajabu au cha pekee. Mbona hushangai, imetokea mara nyingi wanafamilia kufariki siku moja?
 
Back
Top Bottom