Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Acha pia kuvuta bangi, Bangi ina ushawishi wa ajabu na mashetani ndani yake
 
Kuna dada mmoja alikuwa anaelezea alivyomfuma mumewe chooni mkono mmoja unakoboa mwingine ukutani.....nikajiuliza huyo mumeo kabla hajakuoa ulikuwa wapi eboo!!....
 
Kuna dada mmoja alikuwa anaelezea alivyomfuma mumewe chooni mkono mmoja unakoboa mwingine ukutani.....nikajiuliza huyo mumeo kabla hajakuoa ulikuwa wapi eboo!!....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuoa sip kigezo cha kuacha nyeto ila Kupunguzaaaaa kwa kiasi kikubwa...!! Stress za ndoa noma kuna yule waziri wa Congo alikuwa anpiga nyeto ofisini...
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.

Ukiangalia na cost za kupata papuchi zimekuwa juu sanaa, basi ni shida tupu.. na hata ukipata papuchi, huwezi kupata mchezo ontime.
Uache nyeto ili nn mzee, ile kitu ni huduma muhimu, nyegez zikizid sana unaweza wehuka bora uchape nyetoo
 
Kwan ni Ukwel kwamba ukipig master B uwezo wa kupat mtoto Haupo tena?

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea na madhara yatakayotokea baada ya kupiga nyeto kwa muda mrefu:

Mfano nyeto inapelekea kupata magonya kama

• varicocelle: varicose vein zinavimba na kupata maumivu kwenye korodani hasa korodani ya kulia, hapa unakua unaona zile mirija zinazotoka kwenye yai zinavimba kama kifuko cha minyoo. Ikitokea hivo basi possibility’s ya wewe kutia mimba mzee nindogo, varicocelle ni cause ya infertility kwa wapiga nyeto wengi duniani.

• Epididymal orchitis, testicular torsion, Chronic urethritis, haya ni madhara mengine yanayoweza kukusababishia infertility in future na haya husababishwa na nyeto.

Nb: Nyeto ni pepo kama alivyosema mshana Jr hapo juu. Cha msingi ni kutafuta mbinu ya kuondokana na hio kitu. Japo ni ngumu sana.
 
Nimejiwekea mpango mkakati wa kuacha punyeto nimekusudia na nina hakika sitopiga tena ounyeto. Karibu katika Thread hii kujifunze na tupeana mbinu mbalimbali za kuachana na punyeto.

Siku ya kwanza yenye masaa 24, ilikuwa jana niliamua na nimeacha kupiga punyeto,

Ilikuwa ni tabia niliyokuwa nayo kwa miaka kadhaa mpaka siku ya Jana nilipoamua kuacha kabisa. Nimeona jinsi nilivyokuwa nakifurahia kitendo hiki kabla ya kupiga punyeto ila nikishapiga najutia na ninachukia naona nimekosea sana. Nilisoma Faida zake kwenye mitandao na baadae nikasoma madhara yake.

Ila kutokana na maamuzi yangu ambayo nimeyafurahi sana nimeamua kuacha kitendo hiki na ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa amenihakikisha kuwa naweza tena naweza zaidi kuacha na kutokurudia kupiga Punyeto.

Asante Mungu
Siku ya Kwanza Jana 1 Nov 2020

Leo Tar 2 Ni siku yangu ya pili toka nimeacha kupiga punyeto, na Leo nimejitahidi sana kujiepusha na kukaa mwenyewe au pekee yangu. Kuna wakati hali ilikuja ila nikaamua kwenda nje nikatembea kidogo niliporudi hali ikawa imetulia.

Siku ya pili nimeishinda hii hali, nimedhamiria moyoni, na najua nitaweza na Mungu ananisaidia
 
Yaani punyeto imekuwa na addiction kwako kama pombe au sigara daah...pole sana

Kwanini uliamua kuianza?
 
Dawa ya Nyeto ni mwanamke wa kudumu tu. Tafta mwanamke wa kupunguziana nae ugumu.

Sex is a basic need kwa mwanaum rijali na ukiikosa kwa wakati aidha utanunua malaya au utapiga puli.

Hivyo kwa mujibu wa maelezo yako napenda kukukumbusha kuwa wewe umepumzika tu.😂😂😂 Unless otherwise utafute demu uwe unamchakata tu.
 
Katika kutatua matatizo muhimu kuzingatia Mambo mbalimbali,

Niombe kukuuliza maswaliii kadhaa;
Je unamuda gani au umedumu ktk hili kwa muda gani?
Je kwa wiki ulikuwa unafanya Mara ngapi? Kwa siku pia?
Je unahisi Kuna madhara fulani umeyapata kutokana na punyeto?
 
Hongera sana kwa uamuzi mzuri,ila pia pole kwa kuwapiga chini mademu wakali Kama kina beyonce,Alicia Vera huko majuu Mana ile kitu unachagua unayemtaka na pia hata Kama una kibamia unajipimia tu size yako
Sasa karibu huku kwetu uje kuogelea mabwawa tofauti
 
Back
Top Bottom