Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Unaiacha punyeto kwa kuisema na kuisimanga subiri uje uone spidi utakayorudinayo jua hapo unajaza kibubu tu kikijaa siku ukiona hata wale wadudu wanaitwa vilamba mwiko wanafanya basi jua nawe unaenda kunanilii...😂

We acha tu ila usijekutubakia dada zetu tu..😅
 
Utarudi tu[emoji3][emoji3],umepumzika tu,ngoja hamu ikukamate usiku,utatoka kwenda kutembea tembea wapi usiku wa manane?,usingizi unakata,na yenyewe imesimama tu haitaki kulala.hapo ndio utajua hujui.
 
Hapa unajifariji Boss, I tell you from first hand experience.

K haijawahi kuwa kizuizi cha puchu, kuna kipindi zilikuwepo tatu kwa wakati mmoja lakini haikuzuia utekelezaji wa ilani ya chama.

Sababu kubwa ya puchu ni porn. Porn ndio addiction mbaya zaidi kwa mtu kukutana nayo baada ya unga.

Suluhisho ni kubadili mindset, kujidhatiti kikamilifu kuepuka porn then mengine yatajiseti automatically.
 
Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
 
Daaah yaani wewe kila siku lazima sabuni ilikuwa ihusike....
 
Hapa unajifariji Boss, I tell you from first hand experience.

K haijawahi kuwa kizuizi cha puchu, kuna kipindi zilikuwepo tatu kwa wakati mmoja lakini haikuzuia utekelezaji wa ilani ya chama...
Eeeh eeh eeh...mzee we ulikuwa na pepo mchafu[emoji23]
 
Yaani punyeto imekuwa na addiction kwako kama pombe au sigara daah...pole sana

Kwanini uliamua kuianza?
Swali nzuri, nilijikuta tu nimeanza miaka mingi iliyopita, nikiwa naoga nilijishika na nikaona kuna raga enzi za Secondary hizo, hivyo nikajikuta nimeanza kupiga Punyeto.

Ila nimedhamiria na nimeacha kwa kuwa kila nikipiga nikmaliza najichukia sana najiona nimekosea sana na Ndani moyo unauma mno
 
Katika kutatua matatizo muhimu kuzingatia Mambo mbalimbali,

Niombe kukuuliza maswaliii kadhaa;
Je unamuda gani au umedumu ktk hili kwa muda gani?
Je kwa wiki ulikuwa unafanya Mara ngapi? Kwa siku pia?
Je unahisi Kuna madhara fulani umeyapata kutokana na punyeto?
Nimeyapenda maswali yako,
Niliandika juu, ni muda wa miaka isiyopungua 9.

Kwa week inategemea kuna wakati Mara tatu au nne na kuna wakati mara moja kwa week.

Sijayapata madhara ambayo yanaonekana ila Katika Akili naona na ninachukia sana kila nikifanya hicho kitendo, na mwishowe naona kila nikianza kufanya lazima niwakosee wengine naweza imagine na kuwaza kila kitu kama kitu cha Punyeto hata picha ikitumwa natafuta kuiwaza ilinielekee kwenye Punyeto

Hivyo nikaona hali yangu itaharibika zaidi, nikadhamaria na nimeacha kwa kuwa kila nikipiga nikmaliza najichukia sana najiona nimekosea sana na Ndani moyo unauma mno.
 
Back
Top Bottom