Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Uko vizuriUnalipwa kwa kutumia AdSense ili uweze kupata matangazo ya adsense videos zako. Zinatakiwa kuwa na viewers angalau 10000 na ujitahidi kuweka video ambazo haziviolet mambo ya copyrights. Ili kuweza kutoa pesa unapaswa ufikishe angalau $100 na utachagua njia ya kulipwa
mkuu vipi kama unatumia sim?Ukishakuwa na email ya google unaweza kutengeneza Chanel/ kama unatumia kompyuta kwenye youtube menu pembeni utaona sehemu imeandikwa my channel bonyeza hapo na ufuate maelekezo wala haichukui nuda
Kama ni google chrome kwenye upande wa menu kuna sehemu imeandikwa "Request desktop site" icheck hiyo itakuja page ya youtube ya desktop.
kwa maana hiyo Mchungaji Gwajima atakuwa analipwa hela nyingi mnoooHabari zenu Jf
Natumaini wote mu wazima..
Niende moja kwa moja kwenye mada!!
Kwanza mniwie radhi kwa kuwa maelezo mengi yatatolewa kwa njia ya video hapa chini hii nikwa sababu ya ugumu wa kulieleza swala hili kwa maandishi tuu!!
Maada ni namna ya kutengeneza pesa kupitia mtandao wa YouTube
Nimekuwa nikifuatilia sana video nyingi za YouTube na kuja kujua kwamba watu wanapiga pesa nyingi sana kupitia video zao wanazo tengeneza na kuzi post kwenye channel zao za YouTube
Nahasa wenzetu wa nchi zingine kama ulaya na kwingine watu wanatumia YouTube kama ajira zao na wanapata pesa kwa njia rahisi!!
Lakini wenda bado watu wengi kwa nchi kama zetu hawajafahamu pia kua hii ni fursa kubwa ya kutengeneza pesa wewe kazi yako ni kutengeneza tu video!!
Hebu na wewe amua Leo utengeneze channel yako na utengeneze video zako uanze kupata pesa!!!
Unaweza jiuliza utatengeneza video za aina gani??
Unaweza tengeneza video aina yoyote ile
Mfano video za kufundisha au kuelekeza kitu Fulani(tutorial) ,vichekesho, movie etc
Kazi yako nikui promote channel yako ili kuwa na wadau!!!
Hatua ya kwanza ni kutengeneza YouTube Channel yako na hatua ya pilini kuwezesha account yako kupitia kwa kuunganisha YouTube channel yako na adsence account kwani hawa ndio wanao lipa
Video hapa chini inaeleza hatua ya kwanza hadi ya mwisho!!!
Wale wazoefu karibuni pia kwa mawazo
Tazama hapa!!
Itategemeana so kila wenye account za youtube wanalipwa wengine wanahitaji tu kujitangaza etc na ukitaka ianze kukilipa lazima uiwezeshe kwa kuunganisha na AdSensekwa maana hiyo Mchungaji Gwajima atakuwa analipwa hela nyingi mnooo
Kweli "it takes a time" lakini inawezekana ni wewe tu hata ndani ya mda mfupi unaweza anza kulipwa mtu kama masanja akipost video yake ndani ya wiki ni views wengi hata zaidi ya 120kSio rahisi.......
Kumiliki Channel YouTube inayoelezea mambo fulani siyo jambo la michezo....ni jambo linalohitaji kujitoa......
YouTube kweli lakini lazima tujue kuwa GOODTHING TAKES TIME TO HAPPENS.....you need to be patient in the process......
Good luck guys
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
https://www.quora.com/Can-you-reall...swer/Roshan-Swift-1?share=e6d28af5&srid=uNihd
Wewe mwenyewe hapa unajitangaza ili tuangalie halafu unasema rahisiHabari zenu Jf
Natumaini wote mu wazima..
Niende moja kwa moja kwenye mada!!
Kwanza mniwie radhi kwa kuwa maelezo mengi yatatolewa kwa njia ya video hapa chini hii nikwa sababu ya ugumu wa kulieleza swala hili kwa maandishi tuu!!
Maada ni namna ya kutengeneza pesa kupitia mtandao wa YouTube
Nimekuwa nikifuatilia sana video nyingi za YouTube na kuja kujua kwamba watu wanapiga pesa nyingi sana kupitia video zao wanazo tengeneza na kuzi post kwenye channel zao za YouTube
Nahasa wenzetu wa nchi zingine kama ulaya na kwingine watu wanatumia YouTube kama ajira zao na wanapata pesa kwa njia rahisi!!
Lakini wenda bado watu wengi kwa nchi kama zetu hawajafahamu pia kua hii ni fursa kubwa ya kutengeneza pesa wewe kazi yako ni kutengeneza tu video!!
Hebu na wewe amua Leo utengeneze channel yako na utengeneze video zako uanze kupata pesa!!!
Unaweza jiuliza utatengeneza video za aina gani??
Unaweza tengeneza video aina yoyote ile
Mfano video za kufundisha au kuelekeza kitu Fulani(tutorial) ,vichekesho, movie etc
Kazi yako nikui promote channel yako ili kuwa na wadau!!!
Hatua ya kwanza ni kutengeneza YouTube Channel yako na hatua ya pilini kuwezesha account yako kupitia kwa kuunganisha YouTube channel yako na adsence account kwani hawa ndio wanao lipa
Video hapa chini inaeleza hatua ya kwanza hadi ya mwisho!!!
Wale wazoefu karibuni pia kwa mawazo
Tazama hapa!!
Usijifananishe na masanja ndugu uoni jina lenyewe tu linajitangaza swali ni kwamba kwa sisi tusio na jina tufanye vp....???Kweli "it takes a time" lakini inawezekana ni wewe tu hata ndani ya mda mfupi unaweza anza kulipwa mtu kama masanja akipost video yake ndani ya wiki ni views wengi hata zaidi ya 120k
Haha mkuu ndio sikatai lakini ni kusudi langu pia kuwasaidia watu wengine ambao wenda hawafahamu sijataka kuficha like ninacho kifahamu kwani hii ni fulsa kama zingine, sema kwa namna Fulani vitu hivi vinaonekana vigeni huku kwetu lakini ni vitu vya kawaida naamini kwa wale ambao wataamua watakuja kuleta mrejeaho siku moja humu..Wewe mwenyewe hapa unajitangaza ili tuangalie halafu unasema rahisi
Sio rahisi sana kumake pesa youtube kama unavyoongeaHabari zenu Jf
Natumaini wote mu wazima..
Niende moja kwa moja kwenye mada!!
Kwanza mniwie radhi kwa kuwa maelezo mengi yatatolewa kwa njia ya video hapa chini hii nikwa sababu ya ugumu wa kulieleza swala hili kwa maandishi tuu!!
Maada ni namna ya kutengeneza pesa kupitia mtandao wa YouTube
Nimekuwa nikifuatilia sana video nyingi za YouTube na kuja kujua kwamba watu wanapiga pesa nyingi sana kupitia video zao wanazo tengeneza na kuzi post kwenye channel zao za YouTube
Nahasa wenzetu wa nchi zingine kama ulaya na kwingine watu wanatumia YouTube kama ajira zao na wanapata pesa kwa njia rahisi!!
Lakini wenda bado watu wengi kwa nchi kama zetu hawajafahamu pia kua hii ni fursa kubwa ya kutengeneza pesa wewe kazi yako ni kutengeneza tu video!!
Hebu na wewe amua Leo utengeneze channel yako na utengeneze video zako uanze kupata pesa!!!
Unaweza jiuliza utatengeneza video za aina gani??
Unaweza tengeneza video aina yoyote ile
Mfano video za kufundisha au kuelekeza kitu Fulani(tutorial) ,vichekesho, movie etc
Kazi yako nikui promote channel yako ili kuwa na wadau!!!
Hatua ya kwanza ni kutengeneza YouTube Channel yako na hatua ya pilini kuwezesha account yako kupitia kwa kuunganisha YouTube channel yako na adsence account kwani hawa ndio wanao lipa
Video hapa chini inaeleza hatua ya kwanza hadi ya mwisho!!!
Wale wazoefu karibuni pia kwa mawazo
Tazama hapa!!
Mwanzo hua hivi...Usijifananishe na masanja ndugu uoni jina lenyewe tu linajitangaza swali ni kwamba kwa sisi tusio na jina tufanye vp....???
Kuna rafiki angu mmoja alianza hii kazi miezi minne iliyo pita lakini hadi Ana watu wengi sanaUsijifananishe na masanja ndugu uoni jina lenyewe tu linajitangaza swali ni kwamba kwa sisi tusio na jina tufanye vp....???