Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Plug ni mpya
Pump iko sawa
Fan iko sawa
Sawa mkuuuNarudia tena, angalia fuel pump na rejeta kabla ya kuingia kwenye giabox.
vinginevyo ni dalili ya sensor moja wapo inakaribia kufa,oxgen sensor kama sikosei
(mimi si fundi wa magari)
Ila peleka kwa fundi mzuri atapata jawabu.usipeleke kijiweni
Upya wa plug sio sababu ya kuwa zinachoma vizuri. Hakikisha kama zinachoma vizuri. Inawezekana umeosha engine hivi karbuni zimeingiliwa maji zikawa zinachoma nje.Plug ni mpya
Pump iko sawa
Fan iko sawa
Shukrani ngoja nipeleke kwa mafundiUpya wa plug sio sababu ya kuwa zinachoma vizuri. Hakikisha kama zinachoma vizuri. Inawezekana umeosha engine hivi karbuni zimeingiliwa maji zikawa zinachoma nje.
Ukitaka kujua fan na reg ipo sawa angalia mshale wa temp je unapopanda unashuka baada ya muda gani pale fans zinapowaka.
Kuna jirani huenda anakuonea kijicho, Waswahili wabaya Sana, yaani hawataki kabisa uwe nachoPlug ni mpya
Pump iko sawa
Fan iko sawa
SureKuna jirani huenda anakuonea kijicho, Waswahili wabaya Sana, yaani hawataki kabisa uwe nacho
Sawa Mkuu hata mm mawazo yangu yalielekea hukoMtafute fundi wa Gearbox hapo
Hapana ni mapema sana kwenda uko. Gear box kuwa na shida mpaka ukaenda direct ni pale principle gear znapokataa kuingia.Mtafute fundi wa Gearbox hapo
Wakuu naomba msaada wenu natumia gari aina ya Toyota Raum.
Siku hizi mbili gari yangu imekua ikikosa nguvu haswa mlimani pamoja na kuchelewa kubadili gia pia imeandamwa na miss nyingi.
Injini 4E.
Naomba msaada wa ushauri nn cha kufanya.
Leads ndyo nini?Ufumbuzi kuhusu gari yangu kukosa nguvu mlimani jibu nimelipata leo baada ya kulipeleka Gereji na likakaguliwa na Fundi kila kona na ikabainika Leads kukosa ubora(kutorosha moto pembeni)
Ishu hiii imenifanya nishant sana kuwa katitu kadogo tu kanaweza kunikwamisha safari yangu....aiaeee kweli mzungu mchawi sanaa daaaaaah ....basi nikaomba nibadilishiwe na kupewa zingineee ingawa gari yangu inaonekana kuwa selective sana kwenye hizi leads aiseee basi nimeungaunga hivyo hivyo nikabahatika kupata 3 nzima na moja kimeo.
Now mlimani napanda kama nashuka vilee kitu mnato yani nafidiaaa mateso yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Leads ni kifaa gani?Ufumbuzi kuhusu gari yangu kukosa nguvu mlimani jibu nimelipata leo baada ya kulipeleka Gereji na likakaguliwa na Fundi kila kona na ikabainika Leads kukosa ubora(kutorosha moto pembeni)