Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Mkuu hutapata soln tofaut na kupeleka garage wachek nini shida.

Ila lazima wataangalia yafuatayo.

1. Plug kama zinachoma vizuri.
2. Transmission fruid kama ipo sawa.
3. Oil ipo ya kutosha na sio chafu na inazunguka vzuri.
4. Regeta inapoza vizuri pamoja na fans zake kama zote zinafanya kazi.
5. Fuel pump kma ipo vzur.

Ivyo vyote vikiwa sawa basi jua geabox ndyo viaz.
 
Plug ni mpya
Pump iko sawa
Fan iko sawa

Narudia tena, angalia fuel pump na rejeta kabla ya kuingia kwenye giabox. vinginevyo ni dalili ya sensor moja wapo inakaribia kufa,oxgen sensor kama sikosei.

(mimi si fundi wa magari)

Ila peleka kwa fundi mzuri atapata jawabu.usipeleke kijiweni
 
Narudia tena, angalia fuel pump na rejeta kabla ya kuingia kwenye giabox.
vinginevyo ni dalili ya sensor moja wapo inakaribia kufa,oxgen sensor kama sikosei
(mimi si fundi wa magari)

Ila peleka kwa fundi mzuri atapata jawabu.usipeleke kijiweni
Sawa mkuuu
 
Plug ni mpya
Pump iko sawa
Fan iko sawa
Upya wa plug sio sababu ya kuwa zinachoma vizuri. Hakikisha kama zinachoma vizuri. Inawezekana umeosha engine hivi karbuni zimeingiliwa maji zikawa zinachoma nje.

Ukitaka kujua fan na reg ipo sawa angalia mshale wa temp je unapopanda unashuka baada ya muda gani pale fans zinapowaka.
 
Shukrani ngoja nipeleke kwa mafundi
 
Wakuu naomba msaada wenu natumia gari aina ya Toyota Raum.

Siku hizi mbili gari yangu imekua ikikosa nguvu haswa mlimani pamoja na kuchelewa kubadili gia pia imeandamwa na miss nyingi.

Injini 4E.

Naomba msaada wa ushauri nn cha kufanya.

Kama gari haina nguvu milimani inawezekana Fuel pump inasukuma fuel kidogo kuliko ile inayohitajika.

Kuhusu engine kumisfire inaweza kuwa lolote katika inputs za engine. Kwa bahati mbaya sijajua upo wapi mkuu. Ila ningeweza kukukakulia sensors na baadhi ya components kujua kama kuna kimoja wapo kina shida.
 
Ufumbuzi kuhusu gari yangu kukosa nguvu mlimani jibu nimelipata leo baada ya kulipeleka Gereji na likakaguliwa na Fundi kila kona na ikabainika Leads kukosa ubora(kutorosha moto pembeni)

Ishu hiii imenifanya nishant sana kuwa katitu kadogo tu kanaweza kunikwamisha safari yangu....aiaeee kweli mzungu mchawi sanaa daaaaaah ....basi nikaomba nibadilishiwe na kupewa zingineee ingawa gari yangu inaonekana kuwa selective sana kwenye hizi leads aiseee basi nimeungaunga hivyo hivyo nikabahatika kupata 3 nzima na moja kimeo.

Now mlimani napanda kama nashuka vilee kitu mnato yani nafidiaaa mateso yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
... gari yangu inaonekana kuwa selective sana kwenye hizi leads...
 
Lead wire.
Hizo zilikuwa zimechoka au Plug cap nazo zilichoka na kusabisha moto kupotea.
 
Ufumbuzi kuhusu gari yangu kukosa nguvu mlimani jibu nimelipata leo baada ya kulipeleka Gereji na likakaguliwa na Fundi kila kona na ikabainika Leads kukosa ubora(kutorosha moto pembeni)

Ishu hiii imenifanya nishant sana kuwa katitu kadogo tu kanaweza kunikwamisha safari yangu....aiaeee kweli mzungu mchawi sanaa daaaaaah ....basi nikaomba nibadilishiwe na kupewa zingineee ingawa gari yangu inaonekana kuwa selective sana kwenye hizi leads aiseee basi nimeungaunga hivyo hivyo nikabahatika kupata 3 nzima na moja kimeo.

Now mlimani napanda kama nashuka vilee kitu mnato yani nafidiaaa mateso yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leads ndyo nini?
 
Mkuu Leads ni kifaa gani?
Au unamaanisha Coil za plugs?
 
Back
Top Bottom