RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Ahsante sana mkuu.Ukikumbuka problems zingine usisite kutudadavulia.Ndo nipo naifikiria kuinunua hiyo gari but thread hii imenishtua kidogo.
Tindi unataka kusema spea za toyota zina bei kama nissaniKwa ujumla tuachane na mawazo mgando,magari ya sasa yanahitaji kutengenezwa kwa akili zaidi kuliko kufungua. Kwa maana hii ndio maana dash board za magari huwa yana viashiria vingi, ukiona kiashiria kimojawapo na kama hukijui kapime gari upate jibu sahihi kuliko kufungua fungua mwisho wake utalalamika kuwa magari ni mabovu. Na hili sio xtrail pekee hata toyota za sasa hivi pia zinahitaji matunzo ya namna hii. Ukifuata utaratibu huu utasahau mafundi wa kubahatisha. Mimi natumia toyota ya mwaka 2004 nilipata matatizo kwenye gari fundi mmoja akaniambie ninunue injini mwingine akasema tubadilishe accelerator ila baada ya diagnosis shida ilikwisha kwa just simple reset ya mfumo wa gari, na mpaka leo nasafiri nayo kwa zaidi km 1000 kwa siku bila usumbufu wowote.
Kwa ujumla tuache mafundi wa kubahatisha kwani ndio chanzo cha uharibifu wa magari. Wanaosema toyota spea zake ni nafuu wajaribu ku browse kwenye internet waone bei halisi za vipuri,ndio watajua kwanini kila siku huwa wanarudi kwa mafundi kufunga spea mpya
Nissani extrail ni gari gani?
spea ghalama sana na injini ikianza kusumbua lazima lilale
origin spare ya toyota bei sio.sawa na nissan hata sikumojaukinunua spea original lazima bei zinaribiane kuwa sawa...
Magari yote spea zinakuwa gharama zikiwa original, kama unataka feki ndo unakuta bei ya chini...
Sioyr tuPoa mkuu. Year model 2004 ndio ina complications nyingi sana.
Nissan hasa SUV's zina sifa ya kuwa na uzito na density kubwa na huwa hazichukuliwi na maji kwa urahisi tofauti na Toyota. Pamoja na kuweka fibre bado Nissan ni nzito na inakamata ardhi vizuri. Cheki hapa halafu uniambie kama Toyota Landcruiser inaweza kufanya hivi:Umesahau kusema kuwa fibre inafanya gari inakuwa nyepesi kuliko kutumia bati kama zamani...
Hii teknolojia imefanya magari mengi sana kuwa si mazito kama zamani...
Kama una mpango wa kununua gari ya zaidi ya mwaka 2008 na akwa mtizamo wako basi zote zitakuwa mimba. Gari zote zinazokuja sasa zinategemea diagnosis kwa kiasi kikubwa. Inategemea, unaweza kununua mwenyewe kifaa hicho ambacho huuzwa kuanzia dola 150 -200 au hata zaidi kutegemeana na aina na mahitaji yako. Kinafaa sana kurekebisha matatizo ya gari kwani wakati mwingine kinafanya kazi na kuweka sawa na hutahitaji kugusa engene. Ukienda sehemu nyingi bei inaanzia sh 45,000 -75,000 kutegemeana na mahali na mtu. Ni vema ukapata pia anaejua na wewe mwenyewe utazame uridhike na anachofanya. Nissan X-Trail waliwahi kuanza na hii technologia ambayo ilikuwepo hapo kabla kwenye gari za kifahari kama Benz na BMW.Tindi.wapi.wsnafanya.hii diag...na kama sh ngap
Kiujumla sio xrail
Nissan zote n mimba
Nissan X-Trail in soft off roader na imetengenezwa hivyo usitake kubisha tu! Kwanza hata low range gear haina ni automatic all wheel basi, sasa usitake kushindanisha na mnyama wa kazi Toyota Hilux! Nimekuwekea picha hapo chini uone Toyota Hilux ikiwa kazini!
Wewe Ni Muongo!
Ndugu nissan xtrail haina shida hata kidogo...hii gari inahitaji kufuata masharti yake elekezi....hii gari inatumia oil ya nissan extrail tu...hivyo watu wengi wanapofanya service huwa wanatumia oil ambayo not recommended kwa xtrail...but mtu ukitumia oil yake utaifurahia sana hii gari....ni gari nzuri....ni gari ya safar..tatizo letu watanzania tunapenda kufanya maamuzi kwa kutumia maneno matupu ya watu.....changamoto ninayoiona kwa extrail ni bei ghari ya vipuli....but vipuli vyake ni imara na original na hudumu muda mrefu
Kwa ujumla tuachane na mawazo mgando,magari ya sasa yanahitaji kutengenezwa kwa akili zaidi kuliko kufungua. Kwa maana hii ndio maana dash board za magari huwa yana viashiria vingi, ukiona kiashiria kimojawapo na kama hukijui kapime gari upate jibu sahihi kuliko kufungua fungua mwisho wake utalalamika kuwa magari ni mabovu. Na hili sio xtrail pekee hata toyota za sasa hivi pia zinahitaji matunzo ya namna hii. Ukifuata utaratibu huu utasahau mafundi wa kubahatisha. Mimi natumia toyota ya mwaka 2004 nilipata matatizo kwenye gari fundi mmoja akaniambie ninunue injini mwingine akasema tubadilishe accelerator ila baada ya diagnosis shida ilikwisha kwa just simple reset ya mfumo wa gari, na mpaka leo nasafiri nayo kwa zaidi km 1000 kwa siku bila usumbufu wowote.
Kwa ujumla tuache mafundi wa kubahatisha kwani ndio chanzo cha uharibifu wa magari. Wanaosema toyota spea zake ni nafuu wajaribu ku browse kwenye internet waone bei halisi za vipuri,ndio watajua kwanini kila siku huwa wanarudi kwa mafundi kufunga spea mpya
Tindi unataka kusema spea za toyota zina bei kama nissani
Bwana mdogo wewe ni shabiki, huna gari na hujawahi kutumia haya magari. Anzisha thread ya mashabiki watakukubali. Hapa ni wenye magari na wanaoyatumia.