Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

yaani nikikuuliza utarudia yaleyale ambayo nimeshindwa kukuelewa!
Mara upuuzi, mara mie nachanga ila kwa marafiki wa karibu, mara watu wanaanza maisha, mara watu watu wanabaki maskini, mara unalazimishwa kuchanga! Mi sikuelewi unajua!

Yes ni upuuzi tena ulimbukeni kutumia beyond your means for a one day occassion;
Shughuli kama Harusi ni responsibility ya familia na watu wa karibu its my responsibility kuwasaidia pale wanapokwama within limits
Kuanza maisha nimekujibu tayari ndoa is a journey they start life as married couples.....
Yes people are starting their married life without essential things wakati harusi yao ilicost millions....
Watu wanaleta kadi za michango..... simu haziishi na kila siku wanakugongea hodi kukumbushia, sio hiari tena its compulsory...
 
Tatizo lako huna guts za kusema ukweli unaletewa kadi badala ya kuwambia mimihua sichangii harusi! Unazipokea then unakuja kulialia huku JF! Mabadiliko yanaanza na wewe basi usitegemee mtu aje akusemee!
 
hata mimi nashangaa!
 
Assumptions and presumptions....... How do you know ninapokea kadi??? Your personal or my personal dealings with this issue does not matter..... the motion at Hand is how did we find ourselves in this position.

"Hii michango ni culture ya wapi na ilitokea wapi???"; Na je is it only me who found this Ridiclous or there are some other people??? and for the people who accepts this, am begging for the reasons.
 
Dr thank you. Nakuunga mkono.
 
Watu hawaendeshi Rolls Royce si kwa sababu hawajui zinauzwa wapi ila ni kwa sababu hawawezi kumudu bei.

Sasa iweje mtu mwenye uwezo wa kumudu sherehe ya harusi ya Tshs 2000,000.00 atake starehe ya sherehe ya Tshs10,000,000.00?

Utamaduni huu wa Kishenzi wa kuvamia shughuli za bei mbaya upo Tanzania tu, nchi nyingine duniani sherehe za bei mbaya ni za wenye pesa tu.

Kwa usawa wa Bei ya Mafuta ya Tanzania nashangaa kwa nini Mtu anunue Hammer-2
hapa Uesiei tu kwenyewe ambako galoni moja ya mafuta Lita 3.4 ni $3.5 wanayakimbia. Sasa huko Tanzania lita moja ni zaidi ya dola moja na nusu kuna majuha wa starehe na ulimbukeni wanyanunua?

Dawa ya mila hii ya kilimbukeni ni kuacha kutoa michango hii ya kipuuzi.

Eti nasikia hata shere ya kuzaliwa siku hizi wanataka michango??

Kama huna uwezo si unanunua pipi kijiti na puto moja tu sherehe kwisha??
 
...............
"Hii michango ni culture ya wapi na ilitokea wapi???"; Na je is it only me who found this Ridiclous or there are some other people??? and for the people who accepts this, am begging for the reasons..................

Hii culture ni nature ytu waafrika kuishi kindugu na kusadiana utamaduni huu ni sawa na wa extended family ingawa dunia ya sasa inafanya waafrika tuchukie utamaduni wetu. N kasumba ya kuona yale yanayofanywa na na western ndio way to go inaharibu.

Kama unaona kuchangia harusi ni upuuzi siku si nyingi utaona hata kuchangia na kujumuika kwenye msiba ni upuuuzi. Siku si nyingi utasema mtoto wa mjomba au shngazi si ndugu yako. Siku si nyingi utasema kujuana na jirani yako na watu wa mtaaani ni upuuzi pia

Nakubaliana nawe unaposema dhanana viwango ni tatizo lakini kuchanga au kuchangianakwenye harusi is right
 
Habari kaka....... Hope you are fine..........

Undugu na kusaidiana sio utamaduni wa kiafrika tu bali ni ubinadamu na ustaarabu.... Takuwa mtu wa ajabu sana nikipinga kusaidiana sababu binadamu huwezi kuishi peke yako in a vacuum.... Issue ni kusaidiana.... (misiba; magonjwa na sherehe) tunamsaidia mtu ambaye anahitaji msaada....

sasa swali linakuja hizi Harusi za sasa Je ni kweli watu hawa wanahitaji msaada wa kuspend millions of cash for a one day occassion??? Cant it be done more cheaply within their own means..... Harusi sio jambo la ghafla ni jambo la kupanga.... so you can plan it reasonably kulingana na pato lako

Kuhusu huu utamaduni wa kupitisha kadi za michango kwa kila mtu not only your close relatives SIO UTAMADUNI WETU; THINGS DID NOT USED TO BE THIS WAY watu walikuwa wanajumuika pamoja na kutoa pongezi zao kama zawadi???
 
Sana tu, kama unamiaka 100 tutashangaa nini wewe ukishangaa kuchangiana kwenye harusi

au anaweza pia kuwa na miaka chini ya kumi na nane kwahiyo anatafuta hoja za kupambana kwenye midahalo yao ya shule
 
Mja asili haachi asili
 
Tatizo lako huna guts za kusema ukweli unaletewa kadi badala ya kuwambia mimihua sichangii harusi! Unazipokea then unakuja kulialia huku JF! Mabadiliko yanaanza na wewe basi usitegemee mtu aje akusemee!
kweli inabidi kuwa wajasiri kukataa kupokea hizo kadi!
 
Uliza ambapo haukuelewa ueleweshwe sio kutoa comment just because you can.....
VOC naona unaandika maelezo marefu lakini stil unarudi pale pale,the issue is ukiletewa kadi ya mchango ni uamuzi wako kuchanga au kutochanga sasa i dont see which part u dont understand
 
au anaweza pia kuwa na miaka chini ya kumi na nane kwahiyo anatafuta hoja za kupambana kwenye midahalo yao ya shule
Wise men speak because they have something to say; Fools because they have to say something."
 
VOC naona unaandika maelezo marefu lakini stil unarudi pale pale,the issue is ukiletewa kadi ya mchango ni uamuzi wako kuchanga au kutochanga sasa i dont see which part u dont understand
Swali sio kadi ikija uchange au usichange.... Thats not the question here..... The question is where did this issue start in the first place... I think I know the question better as am the one who asked it
 
It started when people started getting married.NEED I SAY MORE.
 
Swali sio kadi ikija uchange au usichange.... Thats not the question here..... The question is where did this issue start in the first place... I think I know the question better as am the one who asked it
Ndio maana pia nakushauri ubadilishe heading ya thread yako maana ni tofauti na kinachojadiliwa ukianza kuuliza aliyeleta utamuduni wewe unaoita wa kipuuzi unategemea uambiweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…