Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Bora hata huo wa harusi Mimi Nina kadi za kuwaaga wastaafu na mchango ni jiwe (100,000/) hakuna cha double wala single kumuaga mstaafu jamani ndio kwa style hiii...??? Yeye anaenda kula pensheni cc tunaumia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yani michango imezidiii

Unaweza kimbia mji, siku hizi hadi Graduation unakuta mtu anaomba umchangie afanye sherehe..

kama huna usitoe, kama unayo toa, kama unashida usitoe, kama hufurahii usitoe, kama hutaki usitoe..all depend on us
 
Kuna haja gani ya kuchangisha michango ya harusi ilihali una uwezo? Mnaumiza sana wasiokuwa na uwezo. - JamiiForums
 
Unaweza kimbia mji, siku hizi hadi Graduation unakuta mtu anaomba umchangie afanye sherehe..

kama huna usitoe, kama unayo toa, kama unashida usitoe, kama hufurahii usitoe, kama hutaki usitoe..all depend on us
[emoji23]
 
baba debora nilimkataza kuchangisha kwenye harusi yetu. nikamwambia kama hawezi kukomaa mwenyewe kugharamia shuguli basi ndoa IFE. Mbona alikomaa na ubwabwa tukala. Tuna maisha yetu mazuri tu, Debora mzuri.
Sasa jee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…