Nilimwambia mwenzangu unataka harusi tafuta mume mwingine ila kama unataka kuwa mke wangu njoo nikupe darasa. Nikamuonyesha mahali nimenunua kiwanja na ujenz nilio anza. Nikamwambia namaliza ujenz aje tuje fanyanyia sherehe hapa hakuna kuchangisha. Harus yetu sinahuwakika kama ilizid 2m. Leo tumemaliza ujenz na tunamaisha mazuri sana. Watu wanatushangaa na wanakosa majibu kiukweli sipendi kuchangia