Sijawahi omba mchangoItakua na wewe walikuchangia
Tena msg asubuhiMimi nimeshasema sitokuja kuchangia harusi ya mtu.
Mambo mengine ni ujinga tu,kama mmeamua kufanya jambo fanyeni kile kilichopo ndani ya uwezo,mambo ya kuomba omba pesa tena kwa nguvu nyingi ni kujitia aibu.
Sawa sitaki msg zako.Mkuu si lazima unichangiae..naona umeamua kuja kunianika huku
Ni kweli ndomana sitaki kuongezewa umaskiniTatizo ni Umasikini....
Ukiona Meseji zinakukera jua ni masikini
Nilimwambia mwenzangu unataka harusi tafuta mume mwingine ila kama unataka kuwa mke wangu njoo nikupe darasa. Nikamuonyesha mahali nimenunua kiwanja na ujenz nilio anza. Nikamwambia namaliza ujenz aje tuje fanyanyia sherehe hapa hakuna kuchangisha. Harus yetu sinahuwakika kama ilizid 2m. Leo tumemaliza ujenz na tunamaisha mazuri sana. Watu wanatushangaa na wanakosa majibu kiukweli sipendi kuchangia
Sijawahi omba mchango
Kero sanaTena msg asubuhi
Ungemwambia akate juu kwa juuMimi kilichonishangaza zaidi, jana kuna jamaa kanipigia kuomba mchango wakati muda huo ana deni la pesa yangu.
Ungemwambia akate juu kwa juu
Hahahaha, atalalamika atakuona hufaiNa mwambia anilipe nimpe mchango
Hahahaha, atalalamika atakuona hufai
Wanaishi kwa kuigaHivi kwanini watu mkiamua kuoana msifanye kitu kilicho ndani ya uwezo wenu,? Kama ni utamu au uchungu mnaenda kupata wewe na mkeo/ mmeo why tabu mtupe wengine.mnakeraaaa..