Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

kwani lazima uchange? Unless unataka kuonekana kuwa 'unazo' au kuonekana 'mchangaji'

mie ili nikuchangie sharti naangalia ukaribu ukoje, sio mtu tulimaliza chuo miaka ya 90 kweusi, hakuna mawasiliano leo anaoa alete kadi loh......
So si kila card unachangia....
Unaweza jikuta kimshahara chote unatoa mchango...

Pia waoaji/waolewaji nao wapunguze kutaka mambi makubwa, leo nimehudhuria kikao mahali budget tena sendoff sh 15,000,000, bi harusi anaulizwaanatoa kiasi gani anadai hana hela, baba wa biharusi anapleji 300,000 khaaaa nikaona mauzauza nimesepa zangu kimya kimya
 
Mh kweli kuna watu mlionana mara moja tu...tena wengine Fb then anakupa kadi...mh km huyo wako wa leo ni aibu...hata mimi ningesepa tu
 
Hahahaaaaa sawa mama usijali...pia pawepo na viwango vya kawaida....km elfu tano au elfu kumi...zinatosha

heh elfu ngapi?! Tano? Elfu 50.. Kama ni couple Laki moja na kuendelea!! Upo hapo?
 
Na wewe si ulichangiwa? Na kama bado, na wewe si utakuja kuchangiwa someday? Au utafunga ndoa ya watu 10, simple!

usiandae harusi endapo 100% unategemea michango...
jipange mwenyewe kwanza...michango iwe km nyongeza tuu...
otherwize utaishia kukera watu kwa sim na msg kila kukicha...
mke wako sisi tukeshe na michango...ebo twakufanyia kazi ww...
mmoja alikuja kwenye kamati eti hata hela ya gaun la bb arus hana...
alah sasa waoa nn hapo...
 
Na wewe si ulichangiwa? Na kama bado, na wewe si utakuja kuchangiwa someday? Au utafunga ndoa ya watu 10, simple!

bi dada umenilisha nn...
najikuta nareply kwako akati nilitaka kumjib erick
 
hahaha kile kinywaji cha juzi kuna vitu nlichanganya.. Sasa ukiangalia unaona Amy.. Amy..Amy.. every where!
 
Huyu kakumiss tu....Amy twende zetu tukale 'Bagah' nahisi njaa
 
Back
Top Bottom