Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Usichange na wewe usitaraji kuchangiwa.
ni poa sana, tatizo wabongo shughuli bila mapochopocho hawaji hata iwe ni msiba. ww huoni msiba wa masikini na tajiri!
Bongo bana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichange na wewe usitaraji kuchangiwa.
Hahahahahaaa lazma niliowachangia wanirudishie hata kidogo...nimechanga nyingi sana aiseeeukitaka iwe mwisho, harusi yako usichangishe mtu. Kuwa mfano wa kuigwa.
Yan jamaa wa harusi wanasumbuaje....kimapato tunatofautiana ila hawaelewiii....dah mkuu hii mambo inachanganya aisee,kamshahara kenyewe haka ka m.kwere
Hahahaa siku hizi misibani tunagonga na NDOVU BARIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIni poa sana, tatizo wabongo shughuli bila mapochopocho hawaji hata iwe ni msiba. ww huoni msiba wa masikini na tajiri!
Bongo bana!
Ndoa muhimu ila harusi ni maamuzi ingawa watu wanaonekana km wanalazimishwakwani harusi ni lazima au uamuzi.?
Mi nshachanga sana...niliowachangia wanatosha tu kunipa campany....hata hivyo sihitaji kufanya sherehe kuuuuuubwaaaaaa wakati maisha ni kujipangaUsichange na wewe usitaraji kuchangiwa.
Mi nshachanga sana...niliowachangia wanatosha tu kunipa campany....hata hivyo sihitaji kufanya sherehe kuuuuuubwaaaaaa wakati maisha ni kujipanga
Hahahaa siku hizi misibani tunagonga na NDOVU BARIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
yan mkishazika mnamsahau marehemu.....ikitokea akafufuka ghafla akakuta mnakula na kunywa....atazimia na kufa tena hapohapo
Ni sawa Amy...hata ikiwa kubwa ntakomaa mwenyewe bila kusumbua watu..si unajua ukiwachangisha watu na wao utalazimika kuwachangia...ntakuwa nashughulika na wagonjwa tuAah bana ricky fanya sherehe kubwa watu tule..tucheze..tunywe.. Lol.
Hapa laki mbili tu??? Mh we ngoja utajionea mwenyewe labda uwape 20,000/-Hapa nimepata kadi tatu za wafanyakazi wenzangu, nikipiga mahesabu na zile nne nilizopata wiki iliyopita inabidi niandae si chini ya laki mbili, kweli hii michango ni ya kupiga vita.
ni poa sana, tatizo wabongo shughuli bila mapochopocho hawaji hata iwe ni msiba. ww huoni msiba wa masikini na tajiri!
Bongo bana!
Mambo Husninyo....!mapochopocho muhimu ila kama bora ualike watu wachache ambao unajua una uwezo wa kuwahudumia.
Hahahahahaaa lazma niliowachangia wanirudishie hata kidogo...nimechanga nyingi sana aiseee
Ila wewe tutakuchangia usijali
Mambo Husninyo....!
Okey pouwaaaaaaaamambo barida.
dah......
Umenitonesha kidonda.....
Mfanyakazi mwenzangu kaka yake anaoa..50,000
mfanyakazi mwenzangu anaolewa 50,000
kuna harusi 2 kwenye kikundi chetu 100,000
binamu zangu 2 wanaoa na kuolewa 100,000
khaaaaa......!!!!!