Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wazi mkuu
 
Kuoa Ni kwa wenye akili sio mjinga wa aina yako na usiwe unaniquote huwa Sina urafiki na wanaume wajinga km wewe

Ukichunguza kiundani hii post ina kisirani ndani yake.

Ila I STILL LOVE YOU.

Na kamwe siwezi kutoa maneno yoyote mabovu (pessimism) kwa yeyotee akiwemo wewe.

Kukuita mjinga, mpumbavu, fala, na neno lolote ambalo ni pessimism FOR ME IS A BIG NO.

Ila pia usisahau hii ni mitandao USIWE SANAA SERIUOS.

Ukute hao wanaoleta matatizo humu ni UONGO tu.

Don't take vitu personal and serious.

#YNWA
 
Sikupendi na unajua Hilo, maelezo haya kayapeleke kwingine kwangu ni upupu
 
Pole kwa yaliyokukuta mkuu. Ila tatizo ni kwamba huo ushauri hau-apply kwa kila mwanaume. Kuna watu wapo kwenye mahusiano/ndoa na wana-enjoy mno, mpaka wanajiuliza walichelewa wapi siku zote, kama changamoto ni zile ndogo ndogo tu za kibinadamu sababu hakuna mkamilifu. Ni kama kubet tu, huku mkeka wako umechanika kule watu wanajipigia tu muhindi. Sasa watu kama hao huwezi kuwashauri waache kubet eti kwa sababu wewe umeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…