Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwa hiyo unashauri madogo waoe mademu wenye sura mbaya kama yule naniliu ili wasitombewe?!
Elewa kwamba kama kutombwa anatombwa tu hata awe mbaya vipi siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako hata umpe nini watamtomba tu hata ukioa mbaya wapo mabaharia hawaangaliagi sura wanafyeka tu!
We kama hutaki kuchapiwa mke basi kamwe usithubutu kuoa
 
Niliwahi shitakiwa na mtalaka wangu kituo fulani cha polisi jijini Dar,nikaletewa barua ya wito.siku nakwenda kusikiliza nilichoitiwa nilipokelewa kwa maneno ya kejeli na askari wa kike waliokuwa pale kituoni.baada ya mahojiano na kuelezwa yale aliyokwenda kushtaki mtalaka,nikawajibu tu simple kuwa nina ushahidi wa kutosha juu ya vitendo alivyofanya hadi akaamua kuondoka mwenyewe nyumbani
1, kupewa ujauzito na Hawara yake kisha mm nilee mtoto nikijua ni wangu kumbe nimepachikwa.
2,kunitoa roho kwani kwake sikuwa na thamani tena hivyo alitaka kubadili mme.
3,kumuwekea mtoto wangu sumu ili afe kuondoa tofauti utakapojitokeza kati yake na mtoto wa mchepuko.
Baada ya kuweka ushahidi wa audio na kusikilizwa,wale ma wp waliondoka bila kuaga,aliyesalia(inspector) alinipa pole na kunisifu kwa uvumilivu nilionao na kumwambia mtalaka jamaa kwa ushahidi alionao akienda mahakamani hutoboi.sasa hivi hata kutongoza mwanamke naogopa.
 
Sio kwamba hujanielewa, ila hutaki kuelewa,

haya mzee kila la kheri.
 
kuoa huko uzeeni 35 jua limezama ila mapema utateseka ushauri mzuri
 
Sina akili za nyege nishatomba sana mzee hata mikundu ya wanawake nishakula sana .
 
Nishasema sina dada Labda wee ndo dada yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…