NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Huna hoja naona malalamiko tu yenye chuki aiseeAlioa zama hizo ndoa ikiwa katika misingi yake, nyie mmeamua kuvuruga misingi ya ndoa kwa kumpa haki zote mwanamke (kisheria) sasa nioe kutafuta nini!!!??
NDOA NI KWAAJILI YA WAJINGA WACHACHE KAMA WEWE
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
wewe juzi tu ulikua una lia lia demu alikufanyia mazingira almanusura wakufanyie kitu mbaya.Kwa sababu wewe ulitapeliwa ndo kila mtu akate ndoa
Kwa kichwa chako huwezi kuona hoja na ndomana nikakwambia ndoa ni kwaajili ya wajinga wachache kama wewe.Huna hoja naona malalamiko tu yenye chuki aisee
Kwa hiyo baba ako alivyooa siyo mwanaume wa kweli.NDIO, NDOA NI USENGE MTUPU
Kataa maisha ya kuviziana
Kataa maisha ya kuwindana
kataa maisha ya kitumwA
ww sio swala
Wewe sio nyumbu
mwanaume wa kweli haoi
NAKAZIANDIO, NDOA NI USENGE MTUPU
Kataa maisha ya kuviziana
Kataa maisha ya kuwindana
kataa maisha ya kitumwA
ww sio swala
Wewe sio nyumbu
mwanaume wa kweli haoi
NAKAZIAKwa kichwa chako huwezi kuona hoja na ndomana nikakwambia ndoa ni kwaajili ya wajinga wachache kama wewe.
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Yule ni demu Ina maana wewe huna demu mzee wakupiga nakutema siyo permanentwewe juzi tu ulikua una lia lia demu alikufanyia mazingira almanusura wakufanyie kitu mbaya.
halaf leo unakuja kuwatetea haya maviumbe ya ajabu humu
NAKAZIAkuwatetea haya maviumbe ya ajabu humu
Bado unazunguka tu Kama tiara aiseeKwa kichwa chako huwezi kuona hoja na ndomana nikakwambia ndoa ni kwaajili ya wajinga wachache kama wewe.
#KATAANDOA
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
#KATAA NDOAKwa hiyo baba ako alivyooa siyo mwanaume wa kweli.
Uliibiwa Nini??NDOA NI WIZI simple kabisa.
Mwanaume kamili hakatai ndoa ukikataa kuoa maana yake unataka ufanyiwe kinyume chake kuwa makini acha kufata mkumbo na utoke kwenye huo uvulana ulio nao
NAKAZIA KWA NGUVU KABISA#KATAA NDOA
NDOA ILIKUA ZAMA HIZO
NDOA ZA SASA WIZ MTUPU
MM SIO SWALA
MM SIO NYUMBU
NDOA NI KWAAJIL YENU WAJINGA
NDOA NI KWAAJIL YENU WAOLEA NYEGE
NAKAZIAKATAA NDOA
TUNZA KIBUNDA CHAKO KAMA ACHRAF HAKIMI
Hawana hoja Bali wanafuata mkumbo tuMwanaume kamili hakatai ndoa ukikataa kuoa maana yake unataka ufanyiwe kinyume chake kuwa makini acha kufata mkumbo na utoke kwenye huo uvulana ulio nao
NAKAZIATOKOMEZA NDOA
Ashraf alioa na bado ataoa Tena hakatai ndoa kama wewe hiyo ni ajali tu Kama ajali zingineKATAA NDOA
TUNZA KIBUNDA CHAKO KAMA ACHRAF HAKIMI
NDOA NI UTAPELIAshraf alioa na bado ataoa Tena hakatai ndoa kama wewe hiyo ni ajali tu Kama ajali zingine