Yani hao wanaosema hivo wote bado wapo kwao watawapeleka wapi hao wanawake baada ya kuwaoa ndo mana wakasema wakatae ndoa.
 
Yule ni demu Ina maana wewe huna demu mzee wakupiga nakutema siyo permanent
Si una ndoa, Kama hizo ndoa zina amani na furaha kama mnavyohubiri huyo wakupiga na kutema wa kazi gani!!?? Unatafuta nini usichokipata ndani ya ndoa yako!!?? Nawaambia tutaimba wimbo mmoja mwaka huu, ndoa ni UPUMBAVU.
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ashraf alioa na bado ataoa Tena hakatai ndoa kama wewe hiyo ni ajali tu Kama ajali zingine

Hakuna sababu yakufanya hivyo mpaka mtakapo nipa factors yakufanya hivyo
EMBU NIJBU
WEWE UMEOLEA NYEGE
UMEOLEA KUMFURAHISHA MAMAAKO
UMEOLEA KUFURAHISHA JAMII
UMEOLEA KUJIONESHA

#KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
 
Peer pressure isikufanye kuoa kabla ya 50s

Vijana kuoa kupo tu ukifika miaka 50s unaoa Kama Sugu Mbunge wa zamani ya Mbeya mijini hata Jay z kaoa na miaka 48s so kuwashauri vijana below 40 kuoa haileti maana doesn't make sense anymore
 
Mwanaume kamili hakatai ndoa ukikataa kuoa maana yake unataka ufanyiwe kinyume chake kuwa makini acha kufata mkumbo na utoke kwenye huo uvulana ulio nao
Akili kisoda, kwani nisipoona ndo nakuwa sina dudu!!?? Nishakwambia nna watoto watatu na nna madem zaidi ya wanne na nafurahia maisha yangu, nioe kutafuta nini!!!??? Mkioa nyie wajinga inatosha na TUTAWAGONGEA SANA.
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…