Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali mtu akiongelea mambo ya ndoa kinakuja kikundi cha vijana/wanaume kinakomenti #KATAANDOA na #USIFUGE KIUMBE NDANI.
NALIA NGWENA /ngosha/Mula/shababi kama wanavyoniita ninapokuwa huko shinyanga na Kanda maalumu, napinga vikali hii operation inayoongozwa na vijana wa humu JF. Unaweza ukaunga mkono kumbe unaunga watu wa upande wa pili/hanithi kwa mantiki hiyo wao hata wasipoa hawaoni umuhimu wa mwanamke/ndoa.
Napinga vikali hiyo operation kwa sababu kuntu/muhimu kama ifuatavyo.
(1) Hupunguza maambukizi ya maradhi ya zinaa kama ukimwi, gono, kaswende, nk.
Hao vijana wanasema ni bora ukanunue totoz kisha mmalizane aondoke zake, lakini kumbuka hao unaonunua wanauza kwa watu wengi na kuna wahuni wengine wanapita nao bila ya kinga/condom na wewe ukijichanganya umekwisha na unaanza kuishi kwa mawazo huku ukijiuliza sijui yule dada ni mzima au kaniachia viruses.
(2) Nikiwa na mpenzi/mchumba/mke wangu maalum hakika nina uhakika wa kutafuna mbususu muda wote kuliko wewe kijana wa kataa ndoa/hufugi mwanamke kichwa cha chini kinaposimama mpaka uanze kuingia tinder/wasap/telegram na Badoo ndiyo uje kupona, na siku ambayo huna hela sijui utabaka mbuzi au kondoo???
(3) Inapunguza ufujaji wa pesa/matumizi mabaya ya pesa. Mpenzi wako uliyekuwa unazoeana nae/mchumba/mke unaweza kumwambia njoo geto sina nauli tumia yako, na kweli akaja. Sasa wewe kijana wa kununua tinder/Badoo/wasapu huko sijui kama anaweza kuja kwa nauli yake thubutuuuuuuuuu. Kwa hiyo, kiasi fulani mjuba mpenzi wangu/mchumba ananielewa.
(4) Msaada pale mwanaume unapokuwa unaumwa. Mwanamke uliyemnunua tinder/wasap/telegram au Badoo hawezi kuja kukuhudumia kipindi unaumwa, hata akija atahitaji malipo. Na je, kama huna pesa si ushaumia? Lakini mwanamke/mpenzi wako/mchumba anaweza kuja kuweka kambi geto akakuhudumia bila hiyana.
Napinga hoja ya #kataandoa hayo mengine ni mambo ya kibinadamu tu kwa wanawake, ewe kijana oa/funga ndoa bila kuhofia kelele za vijana wa jamii foram wanaopinga ndoa/kukaa na mpenzi/mchumba kumuweka ndani.
Nalia Ngwena /mwanaume wa shoka kabisa napinga upepo wa kataa ndoa kwa hali na mali, ndoa/mpenzi wa kudumu ni muhimu sana kama nilivyoeleza hapo juu. Sasa kama kijana/mwanaume uliyekamilika utashupaza mishipa ya shingo nakukataa ndoa, basi moja kwa moja nitakuweka katika lile kundi la rangi nyingi nyingi.
KUBALI NDOA
PIGA VITA #KATAA NDOA.