Vijana wanakwepa mahukumu mashoga ndio wanaosambaza hii kampeni ili wasikose watu wa kuwapiga mshedede
 
Zuhura alikataa kuolewa, wakati wake ulipofika kaolewa.

Ni suala la muda tu, ukifika hakuna pingamizi. Mungu HAKOSEI hata sekunde ndio sababu katuumba me na ke
 
Waendesha hiyo campaign are just fighting their own demons.

Ukichunguza no is forcing them to marry!!!
They're very free to do what they want,
You'd think marriage would be the last thing in their heads,

cha kushangaza mawazo ya ndoa hayawaishi kichwani wanalala nayo na kuamka nayo!!


Wana stress za ndoa!! They really want it but they can't have it for whatever reason, whether ni mapunga, mahanithi, ma jobless, ma rejects, ma mental cases, waathirika...

tuwahurumieni !
 
Bado wapinga ndoa sijaona sababu ya kujitoshelezwa. Natamani nipate mtu anipe sababu ya kueleweka
 
I can feel your pain bro!

Enjoy life big man / happy wife happy life.
 
i GUESS mlio kwenye ndoa mko happy sana kuliko mabaharia?
is this true?
 
When you're truly happy and at peace you won't care what your neighbor is doing,
You'll be busy swimming in bliss,
infact you'll be infecting people with your happiness without knowing.

Ndomana hutoona posts za watu kusifia mahusiano/ndoa zao,
Because they are living it in real time!

Haya madebe tupu sasa!!!!!!

The fact that y'all have to advertise you're happiness and compare your miserable lives to other miserable lives and see who is more miserable is alarming to an investigative mind!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…