Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wapinga ndoa ni MAPUNGA 98%Dunia uwanja wa fujo, ukiamka salama na wanafamilia unamshukuru Mungu maisha yanasonga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinga ndoa ni MAPUNGA 98%Dunia uwanja wa fujo, ukiamka salama na wanafamilia unamshukuru Mungu maisha yanasonga.
Wakati wao haujafika ,hawawezi kupingana na Mungu. Fainali uzeeniWapinga ndoa ni MAPUNGA 98%
I can feel your pain bro!Huu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.
Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.
Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.
Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.
Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.
Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.
MKUU hayo ni maono yako.Wapinga ndoa ni MAPUNGA 98%
i GUESS mlio kwenye ndoa mko happy sana kuliko mabaharia?Waendesha hiyo campaign are just fighting their own demons.
Ukichunguza no is forcing them to marry!!!
They're very free to do what they want,
You'd think marriage would be the last thing in their heads,
cha kushangaza mawazo ya ndoa hayawaishi kichwani wanalala nayo na kuamka nayo!!
Wana stress za ndoa!! They really want it but they can't have it for whatever reason, whether ni mapunga, mahanithi, ma jobless, ma rejects, ma mental cases, waathirika...
tuwahurumieni !
Is it a competition??i GUESS mlio kwenye ndoa mko happy sana kuliko mabaharia?
is this true?
fear!Wakati wao haujafika ,hawawezi kupingana na Mungu. Fainali uzeeni
noIs it a competition??
divorce is soo skewed to women,Is it a competition??
Exactly wengi wao ni mashoga hata huku mtaani tunao wengi tu. Mwanaume rijali hawezu kukwepa ndoa.Wapinga ndoa ni MAPUNGA 98%
Mkuu hadi wewe nae umo kwenye kampeni ya mashoga?Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Ndoa Ni Ujinga
Kataa Ndoa
wengi wao wanatukana tu , stress za ndoa hazijawahi acha mtu salamahahahahaha
and this comment makes you a great thinker?
When you're truly happy and at peace you won't care what your neighbor is doing,
haha nitukane tu, huo wizi wa ndoa pambaneni nao wenyeweMkuu hadi wewe nae umo kwenye kampeni ya mashoga?