chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 865
Wee huniambii kitu nikakuelewa,Hawajui utamu wa ndoa
Wajibiwe kwa hoja mbona wataacha kupiga ban ni kuukimbia ukweli.Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii ,kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania,wewe unayeshawishi watu wasioa umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Utamu wa ndoa ni upi zaid ,tofauti na wasio na ndoa wana wanawake na mbususu wanaoga nazo na watoto wanao?Hawajui utamu wa ndoa
Watu wanarudi na swala kabsa na hawana ndoa.Watoto hao,tena kesho nirudi home na samaki mkubwa
🤣🤣🤣🤣🤗Kataa ndoa ni mateso
Sikushangai kwasababu uwezo wako umefika hapo, mbona campaign zingine huzisemei?Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi Kwa kuwa hazina Nia njema ya kujenga jamii ,kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania,wewe unayeshawishi watu wasioa umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Sio sababu ya kukataa ndoa , kuna watu wana wake hawana ndoa na wanagongewa , kataa ndoa kwa sababu sheria za ndoa na haki sawa hazina usawa kwnye ndoakataa NDOA
wake za watu tunawagonga Sana uku kitaa
NDOA zilikua zamani sio Sasa
Dah kweli ila kunA wengne wameoa na wanaishi vzuri tu au ndo wanatuektiaWee huniambii kitu nikakuelewa,
Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,
Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi, baadae kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba na watoto, ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani naona uvivu nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo ni mama nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"
Siku anaamua kuondoka nyumbani ye mwenyewe akachukua kila kitu na bafo narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"
Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie
Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... hamnipati ng'oooo bora nitafhte hela nisomeshe watoto
Kwa nini wapelekwe wakati wana wanawake na watoto wanaowategemea , hamana hoja kataa ndoa .Wote wanaokubali na kukataa ndoa kama hawana sababu za msingi , wakamatwe na kupelekwa kwenye uwanja wa vita UKRAINE.
Una ndoa huku una akili hizo ?Kama yapo thibitisha
Daaah we kweli Malaika wa KifoMimi nillioa nikaachaa kwa TALAKA, Bado nasisitiza, KATAA NDOA, NDOA NI UTUMWA, NDOA NI KWA AJILI YA KUMFAIDISHA MWANAMKE, NDOA NI KWA AJILI YA KUMKANDAMIZA MWANAUME,
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
Liverpool VPN njoo huku
Ni kweli wanaishi vizuri ila katika ndoa mia moja basi ni ndoa kumi ndo zitakuwa na amani lakini hao wengine wanatuektia tuDah kweli ila kunA wengne wameoa na wanaishi vzuri tu au ndo wanatuektia
Wanajuwa kiama chao kinakujaCha ajabu wanaoumia na kampeni ya KATAA NDOA ni walio kwenye ndoa, Sasa utajiuliza kama ndoa ni tamu wanateseka na nini?,Kila mtu aishi atakavyo. Wasiotaka ndoa waeleweke pia.
Tatizo kunawanaotaka ndoa bila sababu na kuna wale wanaokataa bila sababu. Je, wewe sababu yako ya msingi ni ipi?Kwa nini wapelekwe wakati wana wanawake na watoto wanaowategemea , hamana hoja kataa ndoa .