Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Ww mbona huleti hoja za kutushawishi tusioe ?
Nenda kwenye uzi wa Mshana Jr kule unaitwa "Mada maalumu kwa wanandoa" mimi ni mmoja wapo wa tuliofunguka mpaka tukajikuta tunatoa talaka
Pia utawakuta na wadau wengine waliofunguka yaliyowakuta na wanayoendelea kupitia

Hoja zote utazikuta kwenye huo uzi
 
Upo kundi Gani kati ya hayo matatu niliyotaja ?

Ndoa ni mradi !! Muwekezaji ni nani ? Na faida zake ni zipi huo mradi ?

NB: Asili ya mwanaume ni kutoa , kama ww Asili Yako ni kupokea jitafakari.
Mimi natoa kwa wahitaji na sio wanawake wa Tz
 
We umemalizia tandabui hapo juzi unajikuta dokta wa ndoa...tulia kaka zako tukuelekeze mambo ya msingi maana nyie ndo hamkawii kujinyonga yakiwafika
 
Hoja dhaifu.

Ina maana kwenye ndoa zote ni Wanawake tu ndo wenye mapungufu.
Ukitazama hoja yako utaona haijalenga kukosoa

Imeongeza uzito kwenye hoja ya mdau na kuonesha kwamba sio upande mmoja tu ambao unapata mateso, hata upande wa mwanamke pia hali ni hiyo hiyo
 
Nenda kwenye uzi wa Mshana Jr kule unaitwa "Mada maalumu kwa wanandoa" mimi ni mmoja wapo wa tuliofunguka mpaka tukajikuta tunatoa talaka
Pia utawakuta na wadau wengine waliofunguka yaliyowakuta na wanayoendelea kupitia

Hoja zote utazikuta kwenye huo uzi
Ka-copy ulete hapa hizo hoja. Ww ulivojibizana hapa ndipo wengine tumeona na wengine wataona kwaio tusafishe hapa kabla hatujaenda huko. Otherwise muite huyo Mshana Jr hapa.
 
UTAPATA WA KUFANANA NAE.

Mwanaume unanzaje kulilia kisa mwanamke anapendelewa.
PAMBANA FIA KAZINI ulikubali vipi kuwa mwanaume alafu uogope maisha .

Mnatuaibisha ,mshaanza kuwa mchelemchele.
Dr mwaka last edition....hamna jipya nyie.
 
Hoja dhaifu.

Ina maana kwenye ndoa zote ni Wanawake tu ndo wenye mapungufu.
Mkuu binafsi huwa sipendelei kubishana

Napenda tuelekezane na tuelewane

Pia wanaume siku zote huwa tunapendana tofauti na wanawake ambao wao kwa wao wanachukiana
Binafsi siwezi kumshauri mtu asioe, ila kama unataka kuoa wee oa ila hakikisha unaoa "mke mkeo"
Sipendi upitie niliyopitia mimi maana unaweza ukajikuta unaua ama unajiua

Kifupi katika wanawake kumi utapata mmoja mwenye sifa za kuwa mke
 
Wee huniambii kitu nikakuelewa,

Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,

Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi (na mimi hii ndo starehe yangu kubwa), baadae akaanza kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba akae na watoto (wakati nyumba yenyewe ya kupanga), ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani nachukia nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita,
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo alikuwa mama wa nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"

Siku anaamua kuondoka nyumbani yeye mwenyewe akachukua kila kitu na bado narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa) na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"

Akajibu, "nahitaji kila mwezi anipe pesa kwa ajili ya watoto" (kimoyo moyo nikajisemea huyu kumbe anataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi chake)
Maana kabla hatujaachana nilishawahi kumwambia, "nakupa miezi mitatu fikiria ni biashara gani utakayoweza kufanya ambayo itakuwezesha kuhudumia watoto hata ikitokea siku nimekufa" huwezi amini ilipita miezi mitatu nakuja kumuuliza umefikia wapi, ananijibu l, "sijaona biashara ya kufanya", shiiit

Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie

Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... tena kwa sasa hivi wapo na msimamo wao wa 50 kwa 50

Nakwambia, "Niache kidogo"
Ugomvi wenu wa kitoto sana.
 
Ukitazama hoja yako utaona haijalenga kukosoa

Imeongeza uzito kwenye hoja ya mdau na kuonesha kwamba sio upande mmoja tu ambao unapata mateso, hata upande wa mwanamke pia hali ni hiyo hiyo
Tunarudi palepale UTAPATA WA KUFANANA NAE.

Uchague uzuri wa rangi na shepu af ndo viwe vigezo vya kuoa. Lazima ,PAMBANA.
 
We umemalizia tandabui hapo juzi unajikuta dokta wa ndoa...tulia kaka zako tukuelekeze mambo ya msingi maana nyie ndo hamkawii kujinyonga yakiwafika
Hoja ipo wapi hapo ? Tandabui au Kujinyonga ?

UTAPATA WA KUFANANA NAE. Over.
 
Ka-copy ulete hapa hizo hoja. Ww ulivojibizana hapa ndipo wengine tumeona na wengine wataona kwaio tusafishe hapa kabla hatujaenda huko. Otherwise muite huyo Mshana Jr hapa.
Nautafuta ule uzi kisha nakutagi mkuu hakikisha unapitia comment za kila mdau kuna kitu utajifunza

Kule wapo watu wanandoa zenye miaka 50+ nao wameelezea changamoto zao, yupo mama terry kule nae kachangia ule uzi

Hivyo nikikutag kule utajifunza zaidi maana uzi ni mrefu na kuna nondo haswa ambazo hata ukitaka kuingia kwenye ndoa unakuwa umeshajiandaa kisaikolojia

Yaani ni Jando tosha
 
Jana buana, kuna mazaaa alikuwa amemkimbia mume wake miaka mitano, mume wake akamove on na maisha yake. Leo hii mwanamke amerudi analeta fujo anataka wagawane mali. Hii ni mojawapo ya fact kwamba ndoa ni kimbembe. Sema at the end, kuwa na mtu sahihi, ndoa ni kitu kizuri, campaign hii ikienda ikiwa inakemea mambo ambayo ni hasi kuhusu ndoa yanayoweza kurekebishika italeta ufahamu wa nini kirekebishwe ili ndoa iwe na matunda mazuri
 
UTAPATA WA KUFANANA NAE.

Mwanaume unanzaje kulilia kisa mwanamke anapendelewa.
PAMBANA FIA KAZINI ulikubali vipi kuwa mwanaume alafu uogope maisha .

Mnatuaibisha ,mshaanza kuwa mchelemchele.
Utajuaje kama unayetaka kumuoa ndio mtu sahihi wakufanana naye?

Au ndio itakuwa mchezo wa "Eenie meenie miney mo game"

Kulialia kwenye mambo Gani?
 
Tunarudi palepale UTAPATA WA KUFANANA NAE.

Uchague uzuri wa rangi na shepu af ndo viwe vigezo vya kuoa. Lazima ,PAMBANA.
Kwa hiyo wewe ni yule mtu ambaye unashauri watu waoe na kuacha mpaka watapopata mtu sahihi?

"Fire and hire" ndio kitu unacho recommend?
 
Back
Top Bottom