Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Nenda kwenye uzi wa Mshana Jr kule unaitwa "Mada maalumu kwa wanandoa" mimi ni mmoja wapo wa tuliofunguka mpaka tukajikuta tunatoa talakaWw mbona huleti hoja za kutushawishi tusioe ?
UTAPATA WA KUFANANA NAE.Unayoyasema hapa sio kama hayawatokei au labda hawayajui
Wanayajua sana na ni kero kwao ila wanachodai busara ni kuvumilia
Mimi natoa kwa wahitaji na sio wanawake wa TzUpo kundi Gani kati ya hayo matatu niliyotaja ?
Ndoa ni mradi !! Muwekezaji ni nani ? Na faida zake ni zipi huo mradi ?
NB: Asili ya mwanaume ni kutoa , kama ww Asili Yako ni kupokea jitafakari.
Ukitazama hoja yako utaona haijalenga kukosoaHoja dhaifu.
Ina maana kwenye ndoa zote ni Wanawake tu ndo wenye mapungufu.
Ka-copy ulete hapa hizo hoja. Ww ulivojibizana hapa ndipo wengine tumeona na wengine wataona kwaio tusafishe hapa kabla hatujaenda huko. Otherwise muite huyo Mshana Jr hapa.Nenda kwenye uzi wa Mshana Jr kule unaitwa "Mada maalumu kwa wanandoa" mimi ni mmoja wapo wa tuliofunguka mpaka tukajikuta tunatoa talaka
Pia utawakuta na wadau wengine waliofunguka yaliyowakuta na wanayoendelea kupitia
Hoja zote utazikuta kwenye huo uzi
Dr mwaka last edition....hamna jipya nyie.UTAPATA WA KUFANANA NAE.
Mwanaume unanzaje kulilia kisa mwanamke anapendelewa.
PAMBANA FIA KAZINI ulikubali vipi kuwa mwanaume alafu uogope maisha .
Mnatuaibisha ,mshaanza kuwa mchelemchele.
Mkuu binafsi huwa sipendelei kubishanaHoja dhaifu.
Ina maana kwenye ndoa zote ni Wanawake tu ndo wenye mapungufu.
Ugomvi wenu wa kitoto sana.Wee huniambii kitu nikakuelewa,
Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,
Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi (na mimi hii ndo starehe yangu kubwa), baadae akaanza kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba akae na watoto (wakati nyumba yenyewe ya kupanga), ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani nachukia nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita,
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo alikuwa mama wa nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"
Siku anaamua kuondoka nyumbani yeye mwenyewe akachukua kila kitu na bado narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa) na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"
Akajibu, "nahitaji kila mwezi anipe pesa kwa ajili ya watoto" (kimoyo moyo nikajisemea huyu kumbe anataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi chake)
Maana kabla hatujaachana nilishawahi kumwambia, "nakupa miezi mitatu fikiria ni biashara gani utakayoweza kufanya ambayo itakuwezesha kuhudumia watoto hata ikitokea siku nimekufa" huwezi amini ilipita miezi mitatu nakuja kumuuliza umefikia wapi, ananijibu l, "sijaona biashara ya kufanya", shiiit
Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie
Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... tena kwa sasa hivi wapo na msimamo wao wa 50 kwa 50
Nakwambia, "Niache kidogo"
Tunarudi palepale UTAPATA WA KUFANANA NAE.Ukitazama hoja yako utaona haijalenga kukosoa
Imeongeza uzito kwenye hoja ya mdau na kuonesha kwamba sio upande mmoja tu ambao unapata mateso, hata upande wa mwanamke pia hali ni hiyo hiyo
Hoja ipo wapi hapo ? Tandabui au Kujinyonga ?We umemalizia tandabui hapo juzi unajikuta dokta wa ndoa...tulia kaka zako tukuelekeze mambo ya msingi maana nyie ndo hamkawii kujinyonga yakiwafika
Hoja ipo wapi hapo? Dr. Mwaka au last edition. ?Dr mwaka last edition....hamna jipya nyie.
Nautafuta ule uzi kisha nakutagi mkuu hakikisha unapitia comment za kila mdau kuna kitu utajifunzaKa-copy ulete hapa hizo hoja. Ww ulivojibizana hapa ndipo wengine tumeona na wengine wataona kwaio tusafishe hapa kabla hatujaenda huko. Otherwise muite huyo Mshana Jr hapa.
Nikatae ndoa na hunipi hoja ? Usituhadae ,KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA.Nikatae ndoa na hunipi hoja ? Usituhadae ,
mwanaume hajaumbwa kuogopa hio sio Asili yetu. Jipange upya
Utajuaje kama unayetaka kumuoa ndio mtu sahihi wakufanana naye?UTAPATA WA KUFANANA NAE.
Mwanaume unanzaje kulilia kisa mwanamke anapendelewa.
PAMBANA FIA KAZINI ulikubali vipi kuwa mwanaume alafu uogope maisha .
Mnatuaibisha ,mshaanza kuwa mchelemchele.
Kwa hiyo wewe ni yule mtu ambaye unashauri watu waoe na kuacha mpaka watapopata mtu sahihi?Tunarudi palepale UTAPATA WA KUFANANA NAE.
Uchague uzuri wa rangi na shepu af ndo viwe vigezo vya kuoa. Lazima ,PAMBANA.