Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
KATAA NDOAMimi nillioa nikaachaa kwa TALAKA, Bado nasisitiza, KATAA NDOA, NDOA NI UTUMWA, NDOA NI KWA AJILI YA KUMFAIDISHA MWANAMKE, NDOA NI KWA AJILI YA KUMKANDAMIZA MWANAUME,
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
Liverpool VPN njoo huku
Google imeanza majuzi tu kuoa ni asili , ila ndoa ni za juzi mkuu .Hauna ndoa ipi ? Wakati ndoa unayo Tyr.
Ndo maana nimewaambia kasomeni kwanza, hayo material mbona hata google yapo mengi kapitie japo mawili au matatu ili ujue unachokiogopa na kukataa ni kitu Gani wakati ushakifanya .
Kwaio ni utaratibu upi ambao wazazi wako waliutumia, huo natural kabisa au wa ndoa.Ndoa kwa tz zilianza majuzi tu , ila kuoa ni natural kabsa , jambo ambalo ata wanyama wanalifanya.
Wanadai kuoa ndio ndoaOk km ni kukataa ndoa nami nakubaliana nazo ila kam zinapinga kuoa me sitokubaliana nazo, ujue tunachangany kati ya ndoa na kuoa
Hapo ndo wanapokoseaWanadai kuoa ndio ndoa
Ni utaratibu wa asil ila majuzi tu waliweka huo ambao sio wa asil mimi nikiwa nina meno yote mkuu ili wakifa wazikwe na mchungaji tu basi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]Kwaio ni utaratibu upi ambao wazazi wako waliutumia, huo natural kabisa au wa ndoa.
Tatizo ni kiswahili tu.Kwaio ni utaratibu upi ambao wazazi wako waliutumia, huo natural kabisa au wa ndoa.
Wa Asili upi huo ? FafanuaNi utaratibu wa asil ila majuzi tu waliweka huo ambao sio wa asil mimi nikiwa nina meno yote mkuu ili wakifa wazikwe na mchungaji tu basi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
Mkuu ndoa imeiba huo utaratibu wa asili na kutaka kujimilikisha tu , kabla ya wazungu kuja kiswahili cha neno ndoa hakikuwepo na kama kilikuepo hakikumaanisha 50/ 50 ,.Tatizo ni kiswahili tu.
Ndoa ni nomino.
Kuoa ni kitenzi.
Kasomeni.
Kama ndoa ni kuishi na mwanamke tu ,mbona ukifanya hivyo kupata viza ya kwnda nje unakosa ww na mwenza wako , na kidini unatengwa? Yani nyie hamna ndoaWa Asili upi huo ? Fafanua
Wakiambiwa wana utindio wanang’aka. WanapotoshwaYaan Hawa wanaokataa ndoa 98% hawajui ndoa ni nini.
Mwengine atakwambia nimeoa ila sijafunga ndoa.
Mwingine atakwambia naishi nae mwanamke na watoto Wangu ila sijaoa.
Mwingine atakwambia nitamzalisha mwanamke na kutunza wanangu. Hali ya kuwa anachokikwepa kwenye ndoa muda wowote kinamkuta.
Ni kweli mkuu itakufa ila kitaa single mother wanaongezeka tu.Hii kampeni haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Uliempata ukamzalisha unajua ulichomdanganya na angejua kuwa huku mtandaoni unamtukana yeye ni single mother angeruka. Hawa mnaowapotosha huku wanadhani baada ya miaka 20 hiyo slogan ya kataa ndoa itawasaidia. Huyo uliezaa nae akiamua kwenda kuolewa na mwanaume mwengine ana haki hiyo na watoto atabaki nao yeye labda utumie mabavu mzee wa ovyo.Ndoa sio familia , nina familia ila sina ndoa.
Mngeweka faida za ndoa mngeokoa jahzi hata kwa uchache tuNi kweli mkuu itakufa ila kitaa single mother wanaongezeka tu.
Namwambia kila sku sitaki ndoa na yupo tu tena ni msomi wa njee ya nchi tu na katulia , akienda kwa mwngne navuta mwingne sijawahi kuwa baba wa ovyo kwa sbabu ata kabla ya kuwa na watoto nilisema nitakua na watoto 9, kila mmoja ana account yake mpka wanazaliwa wana chakujisimamia.Uliempata ukamzalisha unajua ulichomdanganya na angejua kuwa huku mtandaoni unamtukana yeye ni single mother angeruka. Hawa mnaowapotosha huku wanadhani baada ya miaka 20 hiyo slogan ya kataa ndoa itawasaidia. Huyo uliezaa nae akiamua kwenda kuolewa na mwanaume mwengine ana haki hiyo na watoto atabaki nao yeye labda utumie mabavu mzee wa ovyo.
Hilo swala jingine sio ndoa Sasa, we kama una uwezo hata Wanawake kumi oa tu .kinachofany ndoa tuione km utumwa ni vile inataka ulale na mke/mme mmoja tu maisha yako yote wakat kiuhalisia na ktk nature hakun mtu mwenye kulimdu hilo, otherwise awe mgonjwa