Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Hauna ndoa ipi ? Wakati ndoa unayo Tyr.

Ndo maana nimewaambia kasomeni kwanza, hayo material mbona hata google yapo mengi kapitie japo mawili au matatu ili ujue unachokiogopa na kukataa ni kitu Gani wakati ushakifanya .
Google imeanza majuzi tu kuoa ni asili , ila ndoa ni za juzi mkuu .
 
me nachoona hapa nikwamba pande zote mbili hazijaelewa vizuri tofauti ya ndoa na kuoa,
Ndoa sio nature ya binadamu ila kuoa hata mm nataman coz ni nature ya kila mnyama
 
Kwaio ni utaratibu upi ambao wazazi wako waliutumia, huo natural kabisa au wa ndoa.
Ni utaratibu wa asil ila majuzi tu waliweka huo ambao sio wa asil mimi nikiwa nina meno yote mkuu ili wakifa wazikwe na mchungaji tu basi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Tatizo ni kiswahili tu.

Ndoa ni nomino.
Kuoa ni kitenzi.

Kasomeni.
Mkuu ndoa imeiba huo utaratibu wa asili na kutaka kujimilikisha tu , kabla ya wazungu kuja kiswahili cha neno ndoa hakikuwepo na kama kilikuepo hakikumaanisha 50/ 50 ,.
 
Yaan Hawa wanaokataa ndoa 98% hawajui ndoa ni nini.

Mwengine atakwambia nimeoa ila sijafunga ndoa.

Mwingine atakwambia naishi nae mwanamke na watoto Wangu ila sijaoa.

Mwingine atakwambia nitamzalisha mwanamke na kutunza wanangu. Hali ya kuwa anachokikwepa kwenye ndoa muda wowote kinamkuta.
Wakiambiwa wana utindio wanang’aka. Wanapotoshwa
 
Ndoa sio familia , nina familia ila sina ndoa.
Uliempata ukamzalisha unajua ulichomdanganya na angejua kuwa huku mtandaoni unamtukana yeye ni single mother angeruka. Hawa mnaowapotosha huku wanadhani baada ya miaka 20 hiyo slogan ya kataa ndoa itawasaidia. Huyo uliezaa nae akiamua kwenda kuolewa na mwanaume mwengine ana haki hiyo na watoto atabaki nao yeye labda utumie mabavu mzee wa ovyo.

Na wanawake tuanzishe slogan ya mwanamke hakuna kuzaa bila ndoa. Tuone mtakavyozeeka na sharubu zenu bila hata watoto
 
kinachofany ndoa tuione km utumwa ni vile inataka ulale na mke/mme mmoja tu maisha yako yote wakat kiuhalisia na ktk nature hakun mtu mwenye kulimdu hilo, otherwise awe mgonjwa
 
Uliempata ukamzalisha unajua ulichomdanganya na angejua kuwa huku mtandaoni unamtukana yeye ni single mother angeruka. Hawa mnaowapotosha huku wanadhani baada ya miaka 20 hiyo slogan ya kataa ndoa itawasaidia. Huyo uliezaa nae akiamua kwenda kuolewa na mwanaume mwengine ana haki hiyo na watoto atabaki nao yeye labda utumie mabavu mzee wa ovyo.
Namwambia kila sku sitaki ndoa na yupo tu tena ni msomi wa njee ya nchi tu na katulia , akienda kwa mwngne navuta mwingne sijawahi kuwa baba wa ovyo kwa sbabu ata kabla ya kuwa na watoto nilisema nitakua na watoto 9, kila mmoja ana account yake mpka wanazaliwa wana chakujisimamia.
 
kinachofany ndoa tuione km utumwa ni vile inataka ulale na mke/mme mmoja tu maisha yako yote wakat kiuhalisia na ktk nature hakun mtu mwenye kulimdu hilo, otherwise awe mgonjwa
Hilo swala jingine sio ndoa Sasa, we kama una uwezo hata Wanawake kumi oa tu .
 
Back
Top Bottom