Hio harusi ndio mkeo anayoitaka. Ukibisha kamuulize.
Mkuu kampeni ya kataa ndoa dhumuni lake ni kuhimiza sheria za ndoa ziangaliwe upy na kuwashtua hawa dada zetu wawe na maadili mema kma wanataka ndoa ila mpka sasa kwetu haina faida .
 
Mkuu kampeni ya kataa ndoa dhumuni lake ni kuhimiza sheria za ndoa ziangaliwe upy na kuwashtua hawa dada zetu wawe na maadili mema kma wanataka ndoa ila mpka sasa kwetu haina faida .
Mkibadilisha heading za thread zenu za kataa Ndoa nitakuja kuunga mkono hoja.
 
Kwakuwa mna fake id basi mnajiongelesha vitu vya ndoto zenu. Kila mtoto ana acc yake my foot🤣 nakwambia huyo ulomzalisha ni wa uswahilini. Au kamwambie staki ndoa we nenda katafute wa kukuoa uone kama atabaki.

Hakuna cha yuko nje wala njenje we sema tu umezalisha wa sampuli yako. Mnachonishangaza watoto wa watu mnawachakaza na humu jf
Mnawaponda na kuwaita single mothers kwa kejeli kutwa.
 
Kukataa ndoa n kumpibga kristo
Na Sheria zenu Mbovu za ndoa ndio mpinga kristo mkuu.

Sikiliza hoja na malalamiko ya watu Kisha fanyia kazi. Sio kuwalaumu badala ya kuwaelimisha tena Sheria zenu za kikristo juu ya ndoa zinazolalamikiwa haswaa .
 
Hujasema mliishia wapi! Hebu ongeza nyama. Tupo wapi kwa sasa?!
 
Je, anajuta kwa wewe kumuacha au anaona poa tu?
 
Dhumuni sio kujimwambafai ni kukuonyesha wengi wao walio wasomi ni feminist , ila ukiwa na msimamo hauyumbishwi , kuhusu account za watoto ni jambo la zuri la kuiga ata kama nmekudanganya au ni ndoto zangu , tukirudi kwenye point kwa sheria hiz za ndoa na kizazi kilivyoharibika hata hawa watoto wng nitawajenga wakijua ndoa ni utapeli tu
 
Mkibadilisha heading za thread zenu za kataa Ndoa nitakuja kuunga mkono hoja.
Ni kukataa ndoa tu ,ndoa kwa sasa ni utapeli na kubahaitisha mno, haina tofauti na kamari , kamari inaaribi afya ya akili ata kama kuna wanaoshinda.
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Naunga mkono hoja.
Maxence,hata kama JF ni uwanja huru lkn kuna mambo kama ya kubomoa jamii msingekuwa mnayapa nafasi.Somehow yanashusha hadhi ya JF na mtu unaweza kufikiria hata kuiacha JF .Ndoa ni taasisi muhimu sana sasa kuacha mtu anahamasisha uholela sio kujenga bali ni kubomoa jamii.Tuna jukumu la kukinga the very centres of our social existance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…