Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa, CCM.
Baada ya kupokea msg nyingi sana toka kwa wengi wenu kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hii kampeni ya kataa ndoa inayozidi kushika kasi hapa JF nimeona leo nitumie haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.
Sio 1:100Kampeni ya kataa ndoa ipo mjini daslam , huu mji ni mgumu Sana Kwa ndoa...!! Wanawake Wakishakaa Kwa dada zao walioolewa na washua wanakuwa na tamaa kupitiliza mwisho wanazinguana na maboy zao wa ndoto , wanaishia kuzalishwa na wahuni wenye verosa , baada ya hapo ni kudanga tuu na usingo mother ...
wanaume wa kuoa single mother ratio ni 1:100
Kwan kukataa ndoa ni kukataa kutafuta pesa mama dBadala ya kukataa ndoa wakatae zinaa na kubeba majukumu ya kiuanaume! Yaani watafute pesa
Asanteeee
The current problems of youth is not relationship, it's all about their mindsets.Kila mtu ni mshauri wa ndoa siku hizi mpaka madenti wa fomu tuu. Kazi ipo wallahi!
Acheni watu waoe wanawake wanaowataka na kuelewana nao potelea mbali hata kama ni haya mapenzi ya kizungu ya kusaidiana kila kitu 50/50 ndani ya nyumba.
Hayanaga mwongozo na kamwe huwezi kuyaundia fomyula!
Umenena vyema mkuu , kwa dunia ya sasa epuka hyo kitu inaitwa pingu za maisha mkuu , ni utapeli wa waziwazi boss .Aya tujenge hoja apa Ndoa ni mpango thabiti wa KiMungu kabisa katika ndoa Kuna baraka za Mungu Kama alivyoagiza.
Mtu mume ataacha wazazi wake na kuambatana na mkewe na mtu mke vivyo hivyo.
Sasa kukataa ndoa Ni Kupingana na Agizo La Mungu. Kila mtu ana Instict zake na mashauri yake Kichwani mwake.
Mimi sijaoa Bado lakini sio kwamba sitaoa lahasha nitaoa. Ila kwa hizi kampeni zilizoibuka na ku-trend miaka ya hivi karibuni zinaibua maswali Mengi sana yaliyokosa majibu kichwani Mwangu.
😂😂Unawakumbusha muhtasari wa kikao chao
Ndioo 😂😂 maana naona wanapishana vibaya mno.😂😂Unawakumbusha muhtasari wa kikao chao
Kukataa ndoa sio kuacha kula pisi mkuu ,mbona mashoga mengne yana ndoa mkuu?Sasa hii kampeni ya kataa ndoa bhana inanipa raha sana, ukienda upande wa pili napo mashoga wamekuwa wengi sasa hizi pisi kali tunamwachia nani eti, eni wei wazee wa kataa ndoa kongole kwenu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kukataa ndoa sio kuacha kula pisi mkuu ,mbona mashoga mengne yana ndoa mkuu?
Afya yako ya akili ikiwa mashakani ata uwezo wa kula mbususu unapotea kwa sababu ya ndoa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]