Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa, CCM.

Baada ya kupokea msg nyingi sana toka kwa wengi wenu kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hii kampeni ya kataa ndoa inayozidi kushika kasi hapa JF nimeona leo nitumie haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.


Badala ya kukataa ndoa wakatae zinaa na kubeba majukumu ya kiuanaume! Yaani watafute pesa

Asanteeee
 
Tomba sepa, unaanzaje kuoa lisimbe?

Limeshindikana huko lishangingi lenye roho kama ya paka utaliweza wewe!?

Lisingo maza aka lisime ni public good, tunaligonga wote.
 
Kampeni ya kataa ndoa ipo mjini daslam , huu mji ni mgumu Sana Kwa ndoa...!! Wanawake Wakishakaa Kwa dada zao walioolewa na washua wanakuwa na tamaa kupitiliza mwisho wanazinguana na maboy zao wa ndoto , wanaishia kuzalishwa na wahuni wenye verosa , baada ya hapo ni kudanga tuu na usingo mother ...

wanaume wa kuoa single mother ratio ni 1:100
Sio 1:100
Ni 1:10000
Sasaivi naona wanaume wengi tumefunguka akili mkuuu [emoji90]
 
UnatimizA majukumu yako vizuri

Halafu yeye anafanya nini kwako???Ili swali ungeweza lijibu vzr labda vijana wangekuelewa

Unachapiwa halafu unahudumi peke yako wakati malaya wanachapwa hovyo na kuhudumiwa hovyo na wanaume tofauti...

Ishu sio Ndoa,ishu ni mwanaume anapata nini huko kwenye Ndoa apart from stress na presha zisizo na msingi.

Mwanaume hataacha kutumia akili kufikiria na hili ndo litakuwa tatizo kubwa huko mbeleni...Kwamba anaoa sawa enhee kwanini naoa??napata nini???

Zamani watu wakioa ilikuwa ni tiketi ya kufanikiwa haipiti hata miaka 5,mtu anatoka kitambi,anajenga, nuru inarudi yaani amani ya moyo inarudi stress zakijinga zinaondoka..

Saizi mtu akioa ndo anapoteana inahitaji courage na uthubutu kufanikiwa ukiwa na mke nowadays kuliko zamani..Leo hii mtu anaacha mke ndo anaanza kufanikiwa kwa fujo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Waacheni madogo...

Mi nisingekuwa na roho ngumu aisee kitu kinachoitwa mafanikio ningekisikia kwenye TVs tu..Unaoa mkeo ndo anakukwamisha nyie nyie nyie waacheni madogo msiwape presha...
 
Sikuwahi kuwaza kama wake za watu ndo wepesi hivyo kutoa tunda kuliko hata hawa wanaozagaa kitaa....!!!
 
Kila mtu ni mshauri wa ndoa siku hizi mpaka madenti wa fomu tuu. Kazi ipo wallahi!

Acheni watu waoe wanawake wanaowataka na kuelewana nao potelea mbali hata kama ni haya mapenzi ya kizungu ya kusaidiana kila kitu 50/50 ndani ya nyumba.

Hayanaga mwongozo na kamwe huwezi kuyaundia fomyula!
The current problems of youth is not relationship, it's all about their mindsets.
 
Aya tujenge hoja apa Ndoa ni mpango thabiti wa KiMungu kabisa katika ndoa Kuna baraka za Mungu Kama alivyoagiza.

Mtu mume ataacha wazazi wake na kuambatana na mkewe na mtu mke vivyo hivyo.

Sasa kukataa ndoa Ni Kupingana na Agizo La Mungu. Kila mtu ana Instict zake na mashauri yake Kichwani mwake.

Mimi sijaoa Bado lakini sio kwamba sitaoa lahasha nitaoa. Ila kwa hizi kampeni zilizoibuka na ku-trend miaka ya hivi karibuni zinaibua maswali Mengi sana yaliyokosa majibu kichwani Mwangu.
 
Aya tujenge hoja apa Ndoa ni mpango thabiti wa KiMungu kabisa katika ndoa Kuna baraka za Mungu Kama alivyoagiza.

Mtu mume ataacha wazazi wake na kuambatana na mkewe na mtu mke vivyo hivyo.

Sasa kukataa ndoa Ni Kupingana na Agizo La Mungu. Kila mtu ana Instict zake na mashauri yake Kichwani mwake.

Mimi sijaoa Bado lakini sio kwamba sitaoa lahasha nitaoa. Ila kwa hizi kampeni zilizoibuka na ku-trend miaka ya hivi karibuni zinaibua maswali Mengi sana yaliyokosa majibu kichwani Mwangu.
Umenena vyema mkuu , kwa dunia ya sasa epuka hyo kitu inaitwa pingu za maisha mkuu , ni utapeli wa waziwazi boss .
 
"KATAA NDOA LINDA AFYA YAKO YA AKILI"...imekaa vizuri sana hii kauli mbiu.

Wanaume wanasubiri wanawake wabadili mienendo Yao ndo waoe na wanawake wanasubiri waolewe ndio wabadilike.

Kwa hii generation ya kuanzia 1990- kuendelea inahitaji maombi maalum.
Changamoto zimekuwa nyingi hasa kwa jinsia ya KE,imepandikizwa sumu ya ufeminism. Ni ngumu mwanamke mwenye element za feminism kuolewa,na hakuna mwanaume anayependa kelele kwenye ndoa.
 
Sasa hii kampeni ya kataa ndoa bhana inanipa raha sana, ukienda upande wa pili napo mashoga wamekuwa wengi sasa hizi pisi kali tunamwachia nani eti, eni wei wazee wa kataa ndoa kongole kwenu sana
 
Sasa hii kampeni ya kataa ndoa bhana inanipa raha sana, ukienda upande wa pili napo mashoga wamekuwa wengi sasa hizi pisi kali tunamwachia nani eti, eni wei wazee wa kataa ndoa kongole kwenu sana
Kukataa ndoa sio kuacha kula pisi mkuu ,mbona mashoga mengne yana ndoa mkuu?
 
Back
Top Bottom