mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa, CCM.
Baada ya kupokea msg nyingi sana toka kwa wengi wenu kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hii kampeni ya kataa ndoa inayozidi kushika kasi hapa JF nimeona leo nitumie haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.
Badala ya kukataa ndoa wakatae zinaa na kubeba majukumu ya kiuanaume! Yaani watafute pesa
Asanteeee