Nikuibie tu siri.Mpaka hapa tunasema KATAA NDOA haipo kwa mwanamume pekee..
uwe mwanamke uwe mwanaume ni kukataa ndoa kwa nguvu zote bora wakuue..
Tena wanawake wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye hili kwakua wao ndio huonekana waathirika wakubwa wa ndoa
Akipata hii kampen inaendele hiyo ndoa yeye mwenyewe ataikataa bila kuambiwaNikuibie tu siri.
Mimi binti yangu akiolewa nalia, tena kile kilio haswa unachokijua. Ila sitamwambia asiolewe...uamuzi ni wake.
Kabisa, jitu linakupangia marafiki wa kuwa nao, mavazi ya kuvaa, siku za kukaa kwenu ukienda kuwatembelea ndugu zako....muda mwingine linakukataza hata kufanya Kazi.Ati ni kwanini ukubali kufugwa na binadamu mwenzako kwa kisingizio tunaishi pamoja kumbe mmoja ni mfugo wa mwingine?
Campeni ya kataa ndoa inamuhusu mwanamke bikra tu wewe Kama hauna bikra tafuta kampeni yakoHakuna kuoa wala kuolewa, kila mtu aishi maisha yake....mkitaka kuzaa mnaandikishana mkataba wa benefits za mtoto.
Sio mmoja anahenyeka mwingine amekaa ametulia tu in the name of ndoa.
#Ndoa ni utumwa Kwa wanawake
Mfungwaj akisema c atachekwaa😂😂😂 kumbe wanafugana na hamsemi
Ni sawa tu. Kwanza ninavyomuona alivyo mmh...huyo mwanaume ajipange. La sivyo wiki mbili nyingi atakimbia.Akipata hii kampen inaendele hiyo ndoa yeye mwenyewe ataikataa bila kuambiwa
Ndoa n utumwa kataa ndoaa
Unamtoa sadaka mwanao kwa kuamini ndoa?? Pathetik.Nikuibie tu siri.
Mimi binti yangu akiolewa nalia, tena kile kilio haswa unachokijua. Ila sitamwambia asiolewe...uamuzi ni wake.
Isiwe case Dr, tutawaoa sisiCampeni ya kataa ndoa inamuhusu mwanamke bikra tu wewe Kama hauna bikra tafuta kampeni yako
Bikra yenyewe inatoka wapi Kwa wakat huu hata ya mchongo hakunaCampeni ya kataa ndoa inamuhusu mwanamke bikra tu wewe Kama hauna bikra tafuta kampeni yako
Haaa haa haa ngumu kumeza eeeeh na jeur Zaid ya mwanaumeNi sawa tu. Kwanza ninavyomuona alivyo mmh...huyo mwanaume ajipange. La sivyo wiki mbili nyingi atakimbia.
We hiyo bikra unayo?Campeni ya kataa ndoa inamuhusu mwanamke bikra tu wewe Kama hauna bikra tafuta kampeni yako
Sijasema nitamuozesha. Maisha ni yake afanye analotaka...18 yrs now yupo vizuri na Mungu atasaidia atakuwa vizuri zaidi.Unamtoa sadaka mwanao kwa kuamini ndoa??
Bado unanafasi ya kufikiri katika hilo ili kumjengea fyucha nzuri bintiyo..
Na kwa manufaa ya uzazi wenu na jamii kwa ujumla..labda kama atakua feminizim karakta
Very boring
Labda kama mtajioa wenyewe c tumekataa unless kama mtatuoa Kwa masaa tuwachakase mbususu na tuondoke basBasi tutawaoa sisi , tutawalipia bills zote msijali
#TheFutureIsFemale 😍
Agiza chochote ulipo alaf ulete lipa numberSijasema nitamuozesha. Maisha ni yake afanye analotaka...18 yrs now yupo vizuri na Mungu atasaidia atakuwa vizuri zaidi.
Kazi yangu ni kumjenga asitegemee pesa ya mwanaume. Mengine ataamua mwenyewe.
Watoto ni mali ya mwanamke, faida pekee aliyonayo mwanaume ni ku pass dna tu otherwise mwanaume hana chake.Ndoa ni utumwa wa hiari Kwa wanawake
Unaacha ndoto zako na kuanza kutengeneza za mwenzako, mwisho anakuona wewe ndio unamnyonya, anasahau uliyosacrifice kwake.
Unasacrifice uzuri wako kumzalia Kwa uchungu na kumlelea watoto.
Unasacrifice muda wako, umri wako wote kumuhudumia jitu zima lenye midevu yake...
#Kataa ndoa
#ndoa ni utumwa
#Kuolewa sio lazima