The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,242
- 2,544
KATAA NDOAA KAMA UMEOA MCHUNGE MKEOHivi inawezekanaje mtu ashindane na usingizi? Eti hata iweje silali... Inawezekana kweli?
Kukataa ndoa kwangu ni kumfanya BWANA MKUBWA aliyeniumba kuwa mwongo aliposema mke ni msaidizi Wangu, na akasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote...KATAA NDOAA KAMA UMEOA MCHUNGE MKEO
Nimekuelewa lakin kwa dunia hii ya sasa ndoa zimekua mapicha picha sana tofauti na zamani miaka ya wazee wetuKukataa ndoa kwangu ni kumfanya BWANA MKUBWA aliyeniumba kuwa mwongo aliposema mke ni msaidizi Wangu, na akasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote...
Naamini hata Sodoma na Gomora kulikuwa na movement Kama hizi zenu...
Kwenu ni rahisi kuwaambia watu wakatae ndoa kuliko kuwaambia WATUBU DHAMBI, wamrudie MUNGU.
Kijana wa kiume umekomaa kataa ndoa unawaonea wivu wanawake? hii movement ya kataa ndoa ina elements za LGBT movement chunguzeni kwa umakiniTuwekane sawa.
Hakuna kijana anayekataa kuwa na mwanamke au kupata watoto ila kinachokataliwa ni ndoa yenye mlengo wa kutolewa cheti kiwe cha kanisani, msikitini, serikalini.
Hatutaki ndoa cheti inaleta jeuri sana kwa wadada wa mjini na ndio maana ndoto ya mwanamke yeyote ni kupata ndoa anajua mwisho wake ni kumtawala mwanaume na kumfanya vile anayotaka.
Hatutaki ndoa cheti mali zetu zitapotea,wanawake wengi sana leo pasua kichwa wakisingizia wanaume hawana nguvu za kiume na usaliti umekuwa mkubwa ambao upelekea ndoa kuvunjika kwa muda mfupi tu na mali kugawana sawa.
Hatutaki ndoa kwa Sababu hakuna cha maana kabisa kinachopatikana kwenye hiyo ndoa watu wanaikubali maana kama mnyanduano unaupata popote,watoto wa kuzaa nao wapo sasa sijui kitu mnaweza kutushawishi tukubaliane na hiyo ndoa.
Hatutaki ndoa maana inampa nafasi ya mwanamke kutaka usawa wa kijinsia kitu ambacho serikali jamii dini hairuhusu kabisa leo hii kisa mdada kaolewa anataka kuwa controller wa kila kitu katika Maisha.
Namalizia sidhani kama kuna Tajiri dunia ameoa.
Ronaldo mwenyewe na mahela yote hana ndoa.
Kijana kataa ndoa
Jali afya yako
Ukishamuacha MUNGU tegemea mapichapicha ya kila namna mkuu...Nimekuelewa lakin kwa dunia hii ya sasa ndoa zimekua mapicha picha sana tofauti na zamani miaka ya wazee wetu
Nabisha mbona wachamungu wengi tu ndoa zao changamoto lakini wanaficha tu kwa kivuli cha diniUkishamuacha MUNGU tegemea mapichapicha ya kila namna mkuu...
Hatutaki cheti 🤣🤣 hujaelewa nn apa legend?Mnazidi kulishana ujinga mjue ninyi
Hukuona ile clip ya mchungaji sijui mkoa gani analalamika hajapewa unyumba miaka sita na mke wakeUkishamuacha MUNGU tegemea mapichapicha ya kila namna mkuu...
Mkuu siku ikatokea nimebananishwa kuliko nipakwe mafuta nitajiua chap kama wasamarai.
Mwaka huu wataelewa dadek kutoka ile general (kataa ndoa ) mpaka kataa cheti cha ndoa mpaka watueleweWatu wengi hawakuelewa hii, kinachokataliwa sio kuishi na mwanamke kuwa na watoto kisha familia bora, bali ni cheti cha ndoa kinachoonekana kumpa mwanamke nguvu kiasi kwamba kupelekea ndoa nyingi kuvunjika, huku wanaume wakiwa wahasirika wa 50/50. Utafiti Marekani unaonyesha 80% ya ndoa zinazovunjika zinasababishwa na mwanamke huku kwa wanawake wasomi wanachangia asilimia 90% kuvunjika kwa ndoa.
Hakuna anayekataa kuwa na familia, bali cheti cha ndoa kinachompata mwanamke nguvu isiyo na sababu.
#kataachetichandoa
Umeua baba naomba uzi ufungwewatu huwa wanadhani vijana wanaokataa ndoa ni kwamba hawana wanawake au watoto swala ni hivi hatutaki kusaini mkataba wa maisha ambao obviously utampa jeuri mwanamke afu utakuharibia wewe mwanaume
nina mwanamke na mtoto mmoja ila huo mjicheti wao sijui wa ndoa sahau, hataki apite hivi aniachie mwanangu, nasema hivi ikiwezekana tubadili slogan kataa ndoa cheti ila kizazi hakikisha unakiendeleza zaa lea kuza maisha yaendelee, kikubwa tu usiwe mzinzi tunza misingi
Kijana wa kiume umekomaa kataa ndoa unawaonea wivu wanawake? hii movement ya kataa ndoa ina elements za LGBT movement chunguzeni kwa umakini
UNA MNUNULIA ZAWADI, UNA GHARAMIA MIHITAJI YAKE YOTE, UNAJARIBU KUTOA ULINZI NA KUFANAYA MWENYE FURAHA. YOTE HI UNAFANYA KWA AJILI YA KUMUONYESA UNAVYO MPENDA.
YOTE HAYA KWA MALIPO YA UNYUMBA TU! KUFANYA MATUSI TU ! BAASI!!!
Hujaelewa bado soma uzi kuanzia mwanzoNaunga mkono hoja,.
Mnaosema kataa ndoa haja zenu mnatimiza Kwa nani, hao wanawake wa kununua mtafanya hivyo Kila siku?.
Tunakataa cheti ..lipa mahali tosha habar ya cheti ndio hatutaki hatujakataa kuishi naoNaunga mkono hoja,.
Mnaosema kataa ndoa haja zenu mnatimiza Kwa nani, hao wanawake wa kununua mtafanya hivyo Kila siku?.