Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
KATAA NDOAA KAMA UMEOA MCHUNGE MKEO
Kukataa ndoa kwangu ni kumfanya BWANA MKUBWA aliyeniumba kuwa mwongo aliposema mke ni msaidizi Wangu, na akasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote...

Naamini hata Sodoma na Gomora kulikuwa na movement Kama hizi zenu...

Kwenu ni rahisi kuwaambia watu wakatae ndoa kuliko kuwaambia WATUBU DHAMBI, wamrudie MUNGU.
 
Kukataa ndoa kwangu ni kumfanya BWANA MKUBWA aliyeniumba kuwa mwongo aliposema mke ni msaidizi Wangu, na akasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote...

Naamini hata Sodoma na Gomora kulikuwa na movement Kama hizi zenu...

Kwenu ni rahisi kuwaambia watu wakatae ndoa kuliko kuwaambia WATUBU DHAMBI, wamrudie MUNGU.
Nimekuelewa lakin kwa dunia hii ya sasa ndoa zimekua mapicha picha sana tofauti na zamani miaka ya wazee wetu
 
Tuwekane sawa.

Hakuna kijana anayekataa kuwa na mwanamke au kupata watoto ila kinachokataliwa ni ndoa yenye mlengo wa kutolewa cheti kiwe cha kanisani, msikitini, serikalini.

Hatutaki ndoa cheti inaleta jeuri sana kwa wadada wa mjini na ndio maana ndoto ya mwanamke yeyote ni kupata ndoa anajua mwisho wake ni kumtawala mwanaume na kumfanya vile anayotaka.

Hatutaki ndoa cheti mali zetu zitapotea,wanawake wengi sana leo pasua kichwa wakisingizia wanaume hawana nguvu za kiume na usaliti umekuwa mkubwa ambao upelekea ndoa kuvunjika kwa muda mfupi tu na mali kugawana sawa.

Hatutaki ndoa kwa Sababu hakuna cha maana kabisa kinachopatikana kwenye hiyo ndoa watu wanaikubali maana kama mnyanduano unaupata popote,watoto wa kuzaa nao wapo sasa sijui kitu mnaweza kutushawishi tukubaliane na hiyo ndoa.

Hatutaki ndoa maana inampa nafasi ya mwanamke kutaka usawa wa kijinsia kitu ambacho serikali jamii dini hairuhusu kabisa leo hii kisa mdada kaolewa anataka kuwa controller wa kila kitu katika Maisha.


Namalizia sidhani kama kuna Tajiri dunia ameoa.

Ronaldo mwenyewe na mahela yote hana ndoa.

Kijana kataa ndoa
Jali afya yako
Kijana wa kiume umekomaa kataa ndoa unawaonea wivu wanawake? hii movement ya kataa ndoa ina elements za LGBT movement chunguzeni kwa umakini
 
Mkuu siku ikatokea nimebananishwa kuliko nipakwe mafuta nitajiua chap kama wasamarai.

Utajiua vipi wakati uko chini ya ulinzi mkali. Hapo lazima utatoa tu 😆😄😄na ndio malipo ya kuchukua wake za watu.
 
Watu wengi hawakuelewa hii, kinachokataliwa sio kuishi na mwanamke kuwa na watoto kisha familia bora, bali ni cheti cha ndoa kinachoonekana kumpa mwanamke nguvu kiasi kwamba kupelekea ndoa nyingi kuvunjika, huku wanaume wakiwa wahasirika wa 50/50. Utafiti Marekani unaonyesha 80% ya ndoa zinazovunjika zinasababishwa na mwanamke huku kwa wanawake wasomi wanachangia asilimia 90% kuvunjika kwa ndoa.
Hakuna anayekataa kuwa na familia, bali cheti cha ndoa kinachompata mwanamke nguvu isiyo na sababu.
#kataachetichandoa
Mwaka huu wataelewa dadek kutoka ile general (kataa ndoa ) mpaka kataa cheti cha ndoa mpaka watuelewe
 
watu huwa wanadhani vijana wanaokataa ndoa ni kwamba hawana wanawake au watoto swala ni hivi hatutaki kusaini mkataba wa maisha ambao obviously utampa jeuri mwanamke afu utakuharibia wewe mwanaume
nina mwanamke na mtoto mmoja ila huo mjicheti wao sijui wa ndoa sahau, hataki apite hivi aniachie mwanangu, nasema hivi ikiwezekana tubadili slogan kataa ndoa cheti ila kizazi hakikisha unakiendeleza zaa lea kuza maisha yaendelee, kikubwa tu usiwe mzinzi tunza misingi
Umeua baba naomba uzi ufungwe
 
WAKATI WATU WA DUNIA WANAPAMBANIA USHOGA IWEJE SISI TUSHINDWE KUKATAA CHETI CHA NDOA ???? GUYS TUONGEZE BIDIII ...
#Kataa cheti cha ndoa
 
Hii kampeni imenirahisishia utafiti wangu kuhusu ndoa na kuoa asee mimi nasema hivi ndoa ni ushenzi, unyonyaji, nk ila kuoa ni jambo jema. Km kuna mtu anabisha basi ani PM nimjuze machache kati ya mengi
 
UNA MNUNULIA ZAWADI, UNA GHARAMIA MIHITAJI YAKE YOTE, UNAJARIBU KUTOA ULINZI NA KUFANAYA MWENYE FURAHA. YOTE HI UNAFANYA KWA AJILI YA KUMUONYESA UNAVYO MPENDA.
YOTE HAYA KWA MALIPO YA UNYUMBA TU! KUFANYA MATUSI TU ! BAASI!!!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
waliotengeneza vyeti vya ndoa hasa hv wanatengeneza vyeti vya ndoa ya jinsia moja je wanaumin wa ndoa mpo tayar kusaini na hizo ndoa za jinsia moja
 
Back
Top Bottom