Binafsi katika mahusiano/ndoa niwapongeze sana wakike wazaliwa wa Pwani, Zanzibar, Tanga na Dar-es-laam.

Wengiwao mapenzi wanathamini na wanajali sana kuhusu mume kama kiongozi na mlezi wa familia (baba aheshimiwe)πŸ™πŸ™πŸ™.

Ysu Kristo, njooo huku kwa hawa dada zetu wa huku juu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kutana na mchaga wa hapo Old moshi, Machame, Siha, Kibosho, Masama pamoja na majirani zao wa Meru hakuna uchungu utakosa.

Wengiwao hawathami mapenzi wao wanawaza biashara, pickup, ng'ombe za maziwa na nyumba. Heri mume afe ila malengo yatimie, tena wakiwa na watoto wakiume ndo patashika, watahakikisha baba huonekani msaada kwa lolote.

Angalau Wachaga wa Uru na Marangu wamepoa unaweza pumzika humo! Kama umepata mwema shukuru sana. Binafsi siku shauri/ acha wapambane wenyewe.

NB: Sio wote kero, wapo visu na wamepoa mnoo kama huyu mama Keku wangu.
 
Ndoa haina formula wanawake wote ni Sawa
 
Ndoa ni sawa na ajali tu mnaweza pata ajali moja ila kuna watakaokufa kuna watakaoumia kuna watakaotoka salama kabisa.

Events huwa zinakuwa influenced na mambo mengi mno moja ukiacha Mungu kuna pia position uliyokaa kwenye hilo basi wakati ajali inatokea ajali yenyewe n.k
 
Tukutane kidimbwi mkuuuuu [emoji220][emoji220][emoji220][emoji220]
 
Vijana, vijana, vijana... za asubuhi,

Nimetafakali mno usiku wa leo, kwa muda mchache kijana wangu alioniunga hapa Jamiforums nimepata wasaa wa kusoma baadhi ya mada za vijana wakikataa kuoa.

Vijana acheni upuzi, oeni muwe na familia, muwatunze watoto wenu. Utapataje watoto kama hauna familia, yaani ndoa?

Una akili kweli wewe kijana?

Natoa wito kwa serikali na wadau, hawa vijana waanze kusakwa mara moja na wakamatwe, wahojiwe kwanini na wanatumwa na nani, kwa agenda gani na kwa maslahi yapi wanaeneza propaganda za kukataa ndoa.

Selikali anzeni hili mara moja.

Asanteni sana Viongozi wa JamiiForums, nachukua nafasi hii kushukuru.
 
Naona umekuja kupangia watu maisha kama unawalisha na kuwapa hifadhi,wewe ni moja ya wazee wa hovyo,halafu watoto wanapatikana vzr tu wengine hata bila baba,get a job.
 
Acha ujuaji mkuu kama unaoa ww oa , mbona ukipata chimbo la kupiga pesa hautujulishi tuje tujumuike pamoja , watanzania wengi wanaroho mbaya mambo ya kijinga tunashaurina tufanye , mishe za faida mnapiga kimya kimya.
 
Haya yanao kataa ndoa ni machoko yapo yamejipanga kweli kuueneza kwa ghalama yoyote.

Tuyapige vita kwa nguvu zote.

Tumeshawastukia na siku hizi mbili tatu mada zao za kataa ndoa zimeanza kupungua kwakuwa mashumbulizi ni makali.

Thanks mshana kwa kuongoza hii kampeni ya kueneza mapunga kupitia jf.

Mtoto wa kiume unayesimamisha unasemaje kataa ndoa,? Si unataka ubanduliwe wewe.
 
Ngoja waje,utatamani kuifuta hii Thd ila ndio haiwezekani tena.
πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…