Ona sasa!, yote hayo ya nini. Dawa ni kutooa tu.
 
Kuoa ni sawa sawa na nchi kuongozwa na ccm ni hasara
 
Umenigusa aisee, kama unaniongelea mimi, nakaribia kupiga chini
 
Kataa Utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Tokomeza Ndoa

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
 
I repeat again sipo kwenye ule upande wa kupinga ndo bali nipo kwenye ule upande wa kuamini ndoa ni baraka, ndoa ni kusaidiana, ndo ni Sakramenti takatifu, ndoa ni utu ila pamoja na kuipenda ndoa naona kama ndoa ndio hainitaki.

Umri umeenda, umri umekimbia sina mchumba, sina mpenzi naiona hatari mbele yangu naenda kuzeeka sasa ntaoa nani sijui shida ipo kwangu au kwao.

Sikufahamu kupata mke ndio kitu ngumu hivi nimezunguka pande zote za dira ila bado ni kipengele kumpata mchumba/mke.Nimechukua maamuzi ya kuchili tu kwa sasa labda ipo siku nami ntakua na familia yangu.

Naipenda Ndoa by mpenda ndoa
 
Jibu swali langu:
Utawezaje kuwa bab wa familia na ukafanya maamuzi magumu kama hata hujui umuoe nani?

Kiongozi naimani ntakua baba bora kwa mke na watoto wangu shida sio nimeshindwa kufanya machaguzi shida ni pale unapofanya machaguzi atleast matatu then unakuta yote yapo occupied.
 
Bila shaka huna pesa.........Tafuta pesa mdogo wangu.

Natakiwa niwe kama na Shs ngapi vile, sema nimekulia malezi ya tofauti wazazi wangu hawakuamini pesa ni upendo
 
Kiongozi naimani ntakua baba bora kwa mke na watoto wangu shida sio nimeshindwa kufanya machaguzi shida ni pale unapofanya machaguzi atleast matatu then unakuta yote yapo occupied.
Ndugu kwani wewe unatafuta kitu gani kwa mwanamke? Yaani mkeo unataka awe wa namna gani. Weka sifa hapa unaweza pata. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…